Wana JF,
Naamini chaguzi hi sehemu ya maisha. kwa hiyo napendekeza wale jamaa wanaosoma masters, .... . wachangamkie tenda. Naamini hiyo topic tosha kwa kufanya utafiti. Ila siyo wa kuchakachua kama wa redet, .....
Baadhi ya maswali.
1. Unafikiri TEKNOHAMA imetumikaji kwenye kampeni na hatimaye uchaguzi 2010.
2. Changamoto mbalimbali zilizopo na mikakati ya kuboresha matumizi ya TEKNOHAMA 2015
Maoni