Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,421
- 606
matangazo ya biashara hayo
Hebu peleka thread yako huko JF Doctor au Hoja mchanganyiko hapa ni mahala pa kazi na tenda.
Husomi hata title ya jukwaa??
Mtindi na nafasi za kazi vinahusianaje???
Jukwaa la matangazo lipo apeleke huko basi
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini KENYA imegundulika kwamba maziwa ya mtindi yanaondoa unene wa kawaida hata na obesity, bakteria rafiki(harmless bacteria) aitwaye " LACTOBACILLUS" anayapatikana kwenye maziwa ya mtindi anapunguza unene na uzito kupita... kiasi(obesity na huzalisha kinga ya kuyeyusha mafuta ya ziada mwilini
Duh ni kweli kakosea lakina inaoneka ...una hamu sana na kazi mpya ahaaaaaaaaaaaaaaaa .
kweli watanzania wengi hawana ajira, mnakuwa wakali mtu akipotea njia!!!