Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 42,872 Reaction score 34,363 Sep 3, 2016 #1 Je Wajuwa ? ukikata kitunguu Maji nusu na Kukiweka kwenye chumba chako cha kulala. Kitakusaidia Sana Kitunguu Maji wakati umelala Kufyonza Bakteria Wote ikiwemo kumaliza Tatizo la Mafua.
Je Wajuwa ? ukikata kitunguu Maji nusu na Kukiweka kwenye chumba chako cha kulala. Kitakusaidia Sana Kitunguu Maji wakati umelala Kufyonza Bakteria Wote ikiwemo kumaliza Tatizo la Mafua.
tetee JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 784 Reaction score 862 Sep 5, 2016 #2 Asante kwa hili