GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na Mimi siku hizi naona kabisa Pumzi yangu ni ya Kisoda Mkuu kumbe tatizo sina Tizi na Kunenepeana kwa Misosi hii.Point. Mazoezi yanakupa pumzi zaid
1. Piga tizi (kupata pumzi),Na Mimi siku hizi naona kabisa Pumzi yangu ni ya Kisoda Mkuu kumbe tatizo sina Tizi na Kunenepeana kwa Misosi hii.
Yaani nimecheka mpaka basi Mkuu kwa hii Post yako kwani naona umeamua tu kwenda moja kwa moja bila Tafsida.Nguvu za kutomba ni tofauti na nguvu za kunyanyua vyuma
Aksante Mkuu kwa hii Elimu yako na ngoja niianze rasmi Kesho kwani najiona kabisa kuwa sasa Nakata mno tu Pumzi.1. Piga tizi (kupata pumzi),
2. Punguza wanga na sukari (kupunguza unene),
3. Kunywa maji ya kutosha (husaidia mzunguko wa damu) na mboro kuimarika
Kuna kipindi niliendekeza pombe ikawa nikiingiza dakika 3 nyingi. Wazungu Hawa hapa. Nilikua Sina pumzi kabisaAksante Mkuu kwa hii Elimu yako na ngoja niianze rasmi Kesho kwani najiona kabisa kuwa sasa Nakata mno tu Pumzi.
Hizi ndio topics zinazopendwa sana na watu Weusi zaidi. Thread Kama hii utashangaa kuona comments zitafika hata milioni moja ndani ya masaa 24 tu!!!Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za Kienyeji ili nami Nipashe kwani kwa mbaali kwa Shughuli za Kibaioloji nilizozifanya kwa Wiki Mbili Tatu hivi najiona kabisa huu Utafiti wa The Monitor unanihusu kwani nimekuwa mzito na Kitambi cha Mkwara na Uchwara sasa Kimeanza Kuninyemelea.
Haya Ewe Mwanaume Mwenzangu mwenye Demu au Mke kuanzia leo anza Kupiga mno Tizi ili usije Kupigiwa bure Ok?
Hivi mboro ndiyo hiyo hiyo mbo**1. Piga tizi (kupata pumzi),
2. Punguza wanga na sukari (kupunguza unene),
3. Kunywa maji ya kutosha (husaidia mzunguko wa damu) na mboro kuimarika
subiri waje jamaa kuuponda huu uzi. sisi wenye vitambi hatupendi kusikia hizi habari tutajitetea na kuponda sana mazoezi......utaambiwa tafuta pesa tu.....Kwa habari Kamili tafadhali litafuteni Gazeti la The Monitor la Uganda ili mjisomee Wenyewe ila Mimi baada tu ya Kuisoma hiyo taarifa na Kunishtua sasa nafanya utaratibu Maalum wa kwenda Gym za Kienyeji ili nami Nipashe kwani kwa mbaali kwa Shughuli za Kibaioloji nilizozifanya kwa Wiki Mbili Tatu hivi najiona kabisa huu Utafiti wa The Monitor unanihusu kwani nimekuwa mzito na Kitambi cha Mkwara na Uchwara sasa Kimeanza Kuninyemelea.
Haya Ewe Mwanaume Mwenzangu mwenye Demu au Mke kuanzia leo anza Kupiga mno Tizi ili usije Kupigiwa bure Ok?
Upwiru ukikubana unampelekea Moto bidada mpaka anaomba mbooJana nimekunywa bia za mwisho, sasa ni 90days za run, gym + balance and timely diet; bila kusahau maji ya kutosha