Utafiti: Mwili wa binadamu una 0.2 milligram za dhahabu

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Tafiti yakinifu zimethibitisha kuwa mwili wa binadamu una kiwango cha 0.2 milligram za dhahabu , kiasi kwamba unahitaji watu 40,000 kuweza kupata walau 8 gramu za dhahabu. Na kiwango hicho cha dhahabu kwa kiasi kikubwa kna patikana katika chembe chembe za damu yetu.

N.B: Tusianze kuwindana kama mlivyofanya kwa walemavu wa ngozi (albino) .

source: The Telegraph - Telegraph online, Daily Telegraph, Sunday Telegraph - Telegraph
 
Ngoja waanze biashara za kunyonya damu watu.
 
Utafiti wangu binafsi. Mi sina hata dhahabu mwilini mwangu. Naomba mnipitie mbali na nitaweka picha.
 
Mmh! Wanapromote genocide kwa mlango wa nyuma!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Tafiti yakinifu zimethibitisha kuwa mwili wa binadamu una kiwango cha 0.2 milligram za dhahabu , kiasi kwamba unahitaji watu 40,000 kuweza kupata walau 8 gramu za dhahabu. Na kiwango hicho cha dhahabu kwa kiasi kikubwa kna patikana katika chembe chembe za damu yetu.

N.B: Tusianze kuwindana kama mlivyofanya kwa walemavu wa ngozi (albino) .

source: The Telegraph - Telegraph online, Daily Telegraph, Sunday Telegraph - Telegraph

Kwa kuwa source of info ni wazungu, data hizo ni za uongo.
 
Tafiti yakinifu zimethibitisha kuwa mwili wa binadamu una kiwango cha 0.2 milligram za dhahabu , kiasi kwamba unahitaji watu 40,000 kuweza kupata walau 8 gramu za dhahabu. Na kiwango hicho cha dhahabu kwa kiasi kikubwa kna patikana katika chembe chembe za damu yetu.

N.B: Tusianze kuwindana kama mlivyofanya kwa walemavu wa ngozi (albino) .

source: The Telegraph - Telegraph online, Daily Telegraph, Sunday Telegraph - Telegraph

Mkuu hiyo 0.2 gram inapatikana kwa kila binadamu? ie: kichanga, kijana na mzee?

Watu wangapi walifanyiwa huo utafiti? wa wapi?
......
Naomba ufafanuzi Mkuu.
 
Mkuu wewe chimbua hicho chanzo utakuja na mambo mazito kuhusu hiyo fact mpaka utashangaa mwenyewe.
 
Mmh! Wanapromote genocide kwa mlango wa nyuma!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Hapana mkuu, kwani bila kuwa na mbinu stahiki za namna ya kuikamua dhahabu husika utaambuliwa patupu tu mkuu.
 
Mkuu wewe chimbua hicho chanzo utakuja na mambo mazito kuhusu hiyo fact mpaka utashangaa mwenyewe.

Nimejaribu mkuu sema nimekutana na habari nyengine zisizohusiana!

Mkuu huwezi ata kunipestia hayo yalioelezwa huko?
 
Vuta subira ngoja nije nikutemee nyongo ya hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom