Tafiti yakinifu zimethibitisha kuwa mwili wa binadamu una kiwango cha 0.2 milligram za dhahabu , kiasi kwamba unahitaji watu 40,000 kuweza kupata walau 8 gramu za dhahabu. Na kiwango hicho cha dhahabu kwa kiasi kikubwa kna patikana katika chembe chembe za damu yetu.
N.B: Tusianze kuwindana kama mlivyofanya kwa walemavu wa ngozi (albino) .
source: The Telegraph - Telegraph online, Daily Telegraph, Sunday Telegraph - Telegraph

Mkuu hiyo 0.2 gram inapatikana kwa kila binadamu? ie: kichanga, kijana na mzee?
Watu wangapi walifanyiwa huo utafiti? wa wapi?
......
Naomba ufafanuzi Mkuu.
Mkuu wewe chimbua hicho chanzo utakuja na mambo mazito kuhusu hiyo fact mpaka utashangaa mwenyewe.