Utafiti na Uchimbaji wa Gesi Tanzania

Utafiti na Uchimbaji wa Gesi Tanzania

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,270
Reaction score
549
WanaJF,

Kwa anayejua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania.

Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa tunaowategemea Tanzania kuambiwa mitaji yao ni ya kununua na kuuza mandazi, na kwamba uwekezaji kwenye utafiti na uchimbaji wa gesi hawauwezi.

Je, ni kweli kwa matajiri waliopo Tanzania hata wangeamua kufanya Partneship hawawezi ?

Tafadhali kwa anayejua anieleweshe juu ya suala hili..
 
Ni matusi tu ya Sospeter Muhongo na maccm wenzie, kwani mamilionea 30 Watanzania hawawezi kuungana na kuunda kampuni itakayokidhi vigezo?
 
Wana Jf,

Kwa anaye jua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania

Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa tunaowategemea Tanzania kuambiwa mitaji yao ni ya kununua na kuuza mandazi , na kwamba uwekezaji kwenye utafiti na uchimbaji wa gesi hawauwezi.

Je ni kweli kwa matajiri waliopo Tanzania hata wangeamua kufanya Partneship hawawezi ? tafadhali kwa anayejua anieleweshe juu ya suala hili

Mkuu Waziri Muhongo kawa muwazi sana kuwaonea huruma Wabongo wenzake wasipoteze pesa zao
hizi ndio gharama
1. Form $750,000 (hii inafungua bakery za kikweli 10 nchi nzima
2. Kabla ya kuchimba inabidi ufanye Enviromental impact assessment kama $1M ( Hii inafungua viwanda vya juisi vya kununua machungwa yote nchini)
3. Seismic report ina cost kama $40M hii nikubwa kuliko share capital ya Bank zote Tanzania
4. Kuchimba inabidi ukodi rig kwa siku at $100,000 na utakuwa nalo kwa miaka mitatu kazi ni 365 day per year
5. Jumlisha na mishahara ya wafanyakazi kwa muda wote huo
Kumbuka wafanyakazi sio vibarua kama wa Tandale hao wengi wanakuwa graduate geologist waliobobea

Jee baada ya gharama zote hizo halafu hupati hayo mafuta msiba wake unakuwaje

Kuhusu kushirikiana hilo haliwezekani kwani kila mtu anapajua TPDC hivyo udalali au ujanja X2 hauwezekani kwenye hii biashara
 
Msaada ukubwa wa oil block(sq km). Je size zinatafautina nchi hadi nchi?
 
JK amesema kisima kinagharimu $100 million.

Kama ni hivyo mbona ni hela ya Kawaida kwa wenye hela zao
Hizo $100million ni exploration costs na sio total cost. Unafanya exploration ili kuthibitisha kwamba gas/mafuta ipo au hakuna! So, unaweza kutumia hicho kiasi na ukakuta hamna kitu. Kwa mfano, Petrobras ya Brazil imetumia $ 200 million na kukuta hamna kitu; which means hiyo imekula kwao!

Kama unataka kuzungumzia total investment costs, unatakiwa kuzungumzia Billions of Dollars na Millions of Dollars; huo ndio ukweli wenyewe zingine ni porojo za kutotaka kumeza ukweli mchungu!!
 
Mkuu labda ungewakumbusha tuu Agip walikimbiaje Bombo baada ya kujenga kile kiwanda cha mafuta TIPER na sericali ya Mwalimu iliwaruhusu kuchimba popote pale Tanzania na hawakupata kitu.
Shimo la mwisho walilochimba ni 50 meter kutoka katika kisima cha gasi cha songo songo na walipokosa wakauza kila kitu na kutimua zao
huu ukekezaji haufai kuupa 100% guarantee kwamba utapata kwa hiyo ukipata umepata na kama ukikosa unakosa kikweli kweli je kama hizo pesa umekopa NSSF hapo tena na mafao ya watu ndio hivyo tena yamepotea
 
Naomaba niwape mfano mdogo. kama una cheza kamali. Kichwa unapewa 2000, Mkia unatoa 1000. probability ni nusu na kila mmoja anatamani kucheza. kwasababu nyumbani unazo zingine. ikiwa 20000 kwa 100000. ingawaje probability ni ileile lakini watu wanapungua, ikiwa 200,000,0000 kwa 100,000,000 inakuwa ngumu sana. lakini billioni 200 kwa billioni 100 n.k itahitaji unakitu kinachoitwa risk of tolerance na angala benk zinakutambua kwa uzoefu wako wa kupoteza kwenye kamali na kulipa. zote hizo ni calculations. ukiiweka kwenye Calculations Kwa watanzania ni ndoto. better tufanye biashara tulizozizoea. ambazo probability yake ni kama 0.98.
 
Wana Jf,

Kwa anaye jua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania

Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa tunaowategemea Tanzania kuambiwa mitaji yao ni ya kununua na kuuza mandazi , na kwamba uwekezaji kwenye utafiti na uchimbaji wa gesi hawauwezi.

Je ni kweli kwa matajiri waliopo Tanzania hata wangeamua kufanya Partneship hawawezi ? tafadhali kwa anayejua anieleweshe juu ya suala hili

Mkuu tukiacha siasa huu uwekezaji ni gaharama kubwa sijawahi kuona. makampuni haya yanapata mikopo mikubwa kutoka mabenki makubwa ikiwamo World bank. Niliwahi kusema na watu wakanibishia but trust me ni gharama.

Nakupa mfano kidogo baada ya kupata seismic data za mahali fulani kutoka serikalini au kwa makampuni yenye hizo data (gharama siziweki) then ukaamua kuwekeza kwenye kuchimba visima vya utafiti(exploration well) then utalazimika kuchimba visima hivyo katiak baadhi ya maeneo ambayo ni potential na kwa kila kisima unaweza kuchukua wiki kadhaa hadi miezi.(inategemea na urefu na Hole condition)

wakati unachimba utalazimika kuajiri makampuni mengine ili yakupe services utakazohitaji kupata na gharama zake utapewa. so kwa siku moja hapo Mtwara total cost zilizo kuwa zinalipwa na BG ni about US $1.2Million. nikisema hivi kwa mtu asiyejua ni vigumu kunielewa but believe me kuna makampuni mengi sana yanayofanya kaz for BG na BG have to paya for the tools, services and personnel on board including the rig.

Sasa Assume unataka kudrill 5 exploration wells na hapo huna uhakika kama utapata enough to produce economically or not. Ni risk kubwa ndio maana makampuni mengi yamejikita kwenye kutoa technology tu. Sasa hizo 5 exploration wells zikichukua miezi 12 labda embu niambie ni gahrama kiasi gani umepoteza?? hapo ni if and only if everything goes according to plan. kwa haya machache nadhani umenielewa.
 
Mkuu kama utabahatika kupata hiyo gesi itabidi ujenge kiwanda cha kusafisha kama Gas treatment Plant ili iweze kutumika viwandani na majumbani gharama yake ni $250 million
Nadhani Rais yupo sawa kusema kama kuna mtanzania yeyote wa kiume aend kubid na apate kwa fair deal sio kwa kubebwa maana inabidi uonyeshe weledi ya kumobilize funding sio utufilisie mabenki yetu Tanzania
 
It is true huu uwekezaji sio sawa na madini ambapo kuna Small scale, medium and large scale.
 
Back
Top Bottom