Kama ni hivyo mbona ni hela ya Kawaida kwa wenye hela zaoJK amesema kisima kinagharimu $100 million.
Kama ni hivyo mbona ni hela ya Kawaida kwa wenye hela zao
Wana Jf,
Kwa anaye jua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania
Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa tunaowategemea Tanzania kuambiwa mitaji yao ni ya kununua na kuuza mandazi , na kwamba uwekezaji kwenye utafiti na uchimbaji wa gesi hawauwezi.
Je ni kweli kwa matajiri waliopo Tanzania hata wangeamua kufanya Partneship hawawezi ? tafadhali kwa anayejua anieleweshe juu ya suala hili
JK amesema kisima kinagharimu $100 million.
Hizo $100million ni exploration costs na sio total cost. Unafanya exploration ili kuthibitisha kwamba gas/mafuta ipo au hakuna! So, unaweza kutumia hicho kiasi na ukakuta hamna kitu. Kwa mfano, Petrobras ya Brazil imetumia $ 200 million na kukuta hamna kitu; which means hiyo imekula kwao!Kama ni hivyo mbona ni hela ya Kawaida kwa wenye hela zao
Hizo $100million ni exploration costs na sio total cost. Unafanya exploration ili kuthibitisha kwamba gas/mafuta ipo au hakuna! So, unaweza kutumia hicho kiasi na ukakuta hamna kitu. Kwa mfano, Petrobras ya Brazil imetumia $ 200 million na kukuta hamna kitu; which means hiyo imekula kwao!
Kama unataka kuzungumzia total investment costs, unatakiwa kuzungumzia Billions of Dollars na Millions of Dollars; huo ndio ukweli wenyewe zingine ni porojo za kutotaka kumeza ukweli mchungu!!
Wana Jf,
Kwa anaye jua anisaidie angalau kujua ni gharama kiasi gani inahitajika kuweza kufanya kazi ya Utafiti na Uchimbaji wa gasi na mafuta Tanzania
Niliogopa sana kusikia matajiri wakubwa tunaowategemea Tanzania kuambiwa mitaji yao ni ya kununua na kuuza mandazi , na kwamba uwekezaji kwenye utafiti na uchimbaji wa gesi hawauwezi.
Je ni kweli kwa matajiri waliopo Tanzania hata wangeamua kufanya Partneship hawawezi ? tafadhali kwa anayejua anieleweshe juu ya suala hili
Mkuu tukiacha siasa huu uwekezaji ni gaharama kubwa sijawahi kuona. makampuni haya yanapata mikopo mikubwa kutoka mabenki makubwa ikiwamo World bank. Niliwahi kusema na watu wakanibishia but trust me ni gharama.
Nakupa mfano kidogo baada ya kupata seismic data za mahali fulani kutoka serikalini au kwa makampuni yenye hizo data (gharama siziweki) then ukaamua kuwekeza kwenye kuchimba visima vya utafiti(exploration well) then utalazimika kuchimba visima hivyo katiak baadhi ya maeneo ambayo ni potential na kwa kila kisima unaweza kuchukua wiki kadhaa hadi miezi.(inategemea na urefu na Hole condition)
wakati unachimba utalazimika kuajiri makampuni mengine ili yakupe services utakazohitaji kupata na gharama zake utapewa. so kwa siku moja hapo Mtwara total cost zilizo kuwa zinalipwa na BG ni about US $1.2Million. nikisema hivi kwa mtu asiyejua ni vigumu kunielewa but believe me kuna makampuni mengi sana yanayofanya kaz for BG na BG have to paya for the tools, services and personnel on board including the rig.
Sasa Assume unataka kudrill 5 exploration wells na hapo huna uhakika kama utapata enough to produce economically or not. Ni risk kubwa ndio maana makampuni mengi yamejikita kwenye kutoa technology tu. Sasa hizo 5 exploration wells zikichukua miezi 12 labda embu niambie ni gahrama kiasi gani umepoteza?? hapo ni if and only if everything goes according to plan. kwa haya machache nadhani umenielewa.
Mkuu kama utabahatika kupata hiyo gesi itabidi ujenge kiwanda cha kusafisha kama Gas treatment Plant ili iweze kutumika viwandani na majumbani gharama yake ni $250 million
Nadhani Rais yupo sawa kusema kama kuna mtanzania yeyote wa kiume aend kubid na apate kwa fair deal sio kwa kubebwa maana inabidi uonyeshe weledi ya kumobilize funding sio utufilisie mabenki yetu Tanzania