UTAFITI: Nairobi imetajwa kwenye Top 10 ya majiji yenye foleni zinazokera duniani

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Posts
22,135
Reaction score
48,827
4f3c55e13c241170c8b49277e6af95fe.jpg

Watu wangu wa Kenya hii inaweza kuwa taarifa mbaya kwao hasa wakazi wa jiji la Nairobi. Ni baada ya kutoka list ya majiji 10 yaliyotajwa kuwa na kiwango kikubwa na foleni za Magari ambazo hupelekea kuwa kera watumiani wa barabara za jiji hilo.

Jiji la Nairobi limetajwa kushika nafasi ya 9 ya majiji yenye foleni zinazoongeza kiwango kikubwa cha hewa chafu ya Carbon dioxide na zinazokera duniani.

Utafiti uliofanywa na mtandao wa Numbeo umezingatia kiwango cha muda unaotumiwa na magari ya kusafirisha abiria kila katikati ya miji na kuonesha kwamba wastani wa chini wa muda unaotumiwa na abiria kwenye foleni ni dakika 65.20 kwa kila safari moja.

Kwa mujibu wa takwimu za serikali ya Kenya zilizotolewa mwka huu mwezi wa Tano zilionesha kuwa Serikali inapoteza kiasi cha shilingi milioni 58.4 za Kenya kwa siku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni moja za Tanzania kutokana na foleni za magari nchini humo.

Kwa Africa, Nairobi imeshika nafasi ya tatu ikiwa nyuma ya jiji la Pretoria kutoka Afrika Kusini na jiji la Cairo nchini Misri

Hii ndio Top 10 ya majiji yenye foleni zaidi duniani.

1. Manila, Philippines – Dakika za kusubiri foleni: 54.33

2. Pretoria, South Africa – Dakika za kusubiri foleni: 52.25

3. Recife, Brazil – Dakika za kusubiri foleni: 57.85

4. Tehran, Iran – Dakika za kusubiri foleni: 59.84

5. Miami, Florida – Dakika za kusubiri foleni: 59.20

6. Kolkata, India – Dakika za kusubiri foleni: 58

7. Cairo, Egypt – Dakika za kusubiri foleni: 58.61

8. Pune, India – Dakika za kusubiri foleni: 60.86

9. Nairobi, Kenya – Dakika za kusubiri foleni: 65.20

10. Mumbai, India – Dakika za kusubiri foleni: 66.1
 
Tanzania tunachanja mbuga

Tanzania ni nchi ya pili kwa kasi ya ukuaji wa uchumi Barani Afrika ambapo uchumi wake unakuwa kwa asilimia 7 ikiongozwa na Ivory Coast inayokua kwa asilimia 8.5, Senegal ya tatu (asilimia 6.6), D’jibout ya nne (asilimia 6.5), Rwanda ya tano (asilimia 6.3), Kenya ya sita (asilimia 6.0) na Msumbiji ya saba (asilimia 6.0).

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana jioni (Alhamis, Oktoba 13, 2016) wakati akifungua kongamano la Jumuiya ya Dawoodi Bohora lililohusu fursa za uwekezaji.
 
Waziri Mwijage alisema kuwa Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya China imekubaliana kushirikiana katika ujenzi wa uchumi wa viwanda ambapo Serikali ya China imeahidi kutekeleza Mradi wa Mlandizi wa utengenezaji wa chuma unaotarajia kuanza wakati wowote.

Pia alisema kuwa, Serikali ya China imeahidi kujenga kiwanda cha Vigae katika eneo la Mkuranga ambacho kitakuwa na uwezo wa kutengeneza kilomita za mraba 80,000 kwa siku ambapo uzalishaji huo utaanza mara baada ya kukamilika kwa bomba la gesi kutoka Mtwara na kinatarajiwa kuzinduliwa mwaka huu.

Vilevile alisema kuwa ifikapo mwaka 2019 Tanzania itaachana na uvaaji wa nguo za mitumba, hivyo Serikali ya China imeahidi ujenzi wa kiwanda cha nguo nchini chenye uwezo wa kuajiri wafanyakazi 14,000 na kuzalisha nguo baada ya kukamilisha upatikanaji wa ekari 700 za eneo.
 
4f3c55e13c241170c8b49277e6af95fe.jpg

Watu wangu wa Kenya hii inaweza kuwa taarifa mbaya kwao hasa wakazi wa jiji la Nairobi. Ni baada ya kutoka list ya majiji 10 yaliyotajwa kuwa na kiwango kikubwa na foleni za Magari ambazo hupelekea kuwa kera watumiani wa barabara za jiji hilo.

Jiji la Nairobi limetajwa kushika nafasi ya 9 ya majiji yenye foleni zinazoongeza kiwango kikubwa cha hewa chafu ya Carbon dioxide na zinazokera duniani.

Utafiti uliofanywa na mtandao wa Numbeo umezingatia kiwango cha muda unaotumiwa na magari ya kusafirisha abiria kila katikati ya miji na kuonesha kwamba wastani wa chini wa muda unaotumiwa na abiria kwenye foleni ni dakika 65.20 kwa kila safari moja.

Kwa mujibu wa takwimu za serikali ya Kenya zilizotolewa mwka huu mwezi wa Tano zilionesha kuwa Serikali inapoteza kiasi cha shilingi milioni 58.4 za Kenya kwa siku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni moja za Tanzania kutokana na foleni za magari nchini humo.

Kwa Africa, Nairobi imeshika nafasi ya tatu ikiwa nyuma ya jiji la Pretoria kutoka Afrika Kusini na jiji la Cairo nchini Misri

Hii ndio Top 10 ya majiji yenye foleni zaidi duniani.

1. Manila, Philippines – Dakika za kusubiri foleni: 54.33

2. Pretoria, South Africa – Dakika za kusubiri foleni: 52.25

3. Recife, Brazil – Dakika za kusubiri foleni: 57.85

4. Tehran, Iran – Dakika za kusubiri foleni: 59.84

5. Miami, Florida – Dakika za kusubiri foleni: 59.20

6. Kolkata, India – Dakika za kusubiri foleni: 58

7. Cairo, Egypt – Dakika za kusubiri foleni: 58.61

8. Pune, India – Dakika za kusubiri foleni: 60.86

9. Nairobi, Kenya – Dakika za kusubiri foleni: 65.20

10. Mumbai, India – Dakika za kusubiri foleni: 66.1
ungeweka na dar es salaam mkuu umeisahau hv.....
 
ungeweka na tathmini ya joto pia
 
Hivi flyover za nairobi hazijasaidia kupunguza foleni
 
Hapa wakenya wanachungulia na kukimbia.

Eti nchi ya uchumi wa kati. Bwahahahaha.
Hapa Africa nchi yenye kiwango kidogo cha kutumia akili ni Kenya.

Mkenya unaweza ukamdanganya na akaamini kweli. Unaweza ukamwambia umekula wakati hajala na akaamini.

Sasa hivi wanaamini ni nchi tajiri huku kukicha njaa na utapiamlo.
 
1. Manila, Philippines – Dakika za kusubiri foleni: 54.33

2. Pretoria, South Africa – Dakika za kusubiri foleni: 52.25

3. Recife, Brazil – Dakika za kusubiri foleni: 57.85

4. Tehran, Iran – Dakika za kusubiri foleni: 59.84

5. Miami, Florida – Dakika za kusubiri foleni: 59.20

6. Kolkata, India – Dakika za kusubiri foleni: 58

7. Cairo, Egypt – Dakika za kusubiri foleni: 58.61

8. Pune, India – Dakika za kusubiri foleni: 60.86

9. Nairobi, Kenya – Dakika za kusubiri foleni: 65.20

10. Mumbai, India – Dakika za kusubiri foleni: 66.1
 
Duh,jf hajabadilika eti?Full vijembe,wakenya na watz mnatisha aisee!Heri N. na S.Korea!
 
Hapa wakenya wanachungulia na kukimbia.

Eti nchi ya uchumi wa kati. Bwahahahaha.
Hapa Africa nchi yenye kiwango kidogo cha kutumia akili ni Kenya.

Mkenya unaweza ukamdanganya na akaamini kweli. Unaweza ukamwambia umekula wakati hajala na akaamini.

Sasa hivi wanaamini ni nchi tajiri huku kukicha njaa na utapiamlo.
ndo maana unaona tunajenga ma fly-over kila siku lakini bado hayatoshi, magari yanazidi kuongezeka kuliko kasi ya ujenzi wa barabara.....

Lakini hizi ni changamoto za emerging nations, tanzania haijafika, mkitoka LCD muingie Middle income mtaingia kwa list tu.... Angalia hizo nchi zenye ziko kwa hio list, miji tano ni ya kutika nchi za BRICS, hizo nchi zengine zote zishawai tajwa kama emerging markets to watch for, the only one missing ni mexico, hizi shida za mlolongo wa magari tutazitatua tu, project ni nyingi, tutazipanua barabara hata kama ni kujenga miji mipya kama akina tatu city,Konza, petro city mombasa ili tupunguze waokuja ndani ya nairobi, miaka michache badae miji kama machakos na malindi ndo watakua na shida za jam
 
Hapa wakenya wanachungulia na kukimbia.

Eti nchi ya uchumi wa kati. Bwahahahaha.
Hapa Africa nchi yenye kiwango kidogo cha kutumia akili ni Kenya.

Mkenya unaweza ukamdanganya na akaamini kweli. Unaweza ukamwambia umekula wakati hajala na akaamini.

Sasa hivi wanaamini ni nchi tajiri huku kukicha njaa na utapiamlo.
Kukimbia api?????Wapi si huwa mnasema Dar ni jiji kubwa Afrika Mashariki????.....Ukubwa utaubima pia na foleni ya magari...Nairobi has by far better Infrastructure than Dar znd still with that there is still crazy traffic jams.Deal with it Evil Danganyikans.
 
Hapa wakenya wanachungulia na kukimbia.

Eti nchi ya uchumi wa kati. Bwahahahaha.
Hapa Africa nchi yenye kiwango kidogo cha kutumia akili ni Kenya.

Mkenya unaweza ukamdanganya na akaamini kweli. Unaweza ukamwambia umekula wakati hajala na akaamini.

Sasa hivi wanaamini ni nchi tajiri huku kukicha njaa na utapiamlo.
Hapa wakenya wanachungulia na kukimbia.

Eti nchi ya uchumi wa kati. Bwahahahaha.
Hapa Africa nchi yenye kiwango kidogo cha kutumia akili ni Kenya.

Mkenya unaweza ukamdanganya na akaamini kweli. Unaweza ukamwambia umekula wakati hajala na akaamini.

Sasa hivi wanaamini ni nchi tajiri huku kukicha njaa na utapiamlo.
It is a mark of recognition, cities like Dar were too insignificant to be considered. The one talking of fyovers should tell us whether Pretoria does not have them
 
Kero za foleni Nairobi zipo kweli lakini tunatia juhudi kila siku. Tumejenga bypasses, tumejenga flyovers kadhaa ambazo leo hii ndio Tanzania inawaza kujenga moja kwenye mataa ya Tazara.

Tatizo Wakenya wanakua kiuchumi kwa kasi kubwa. Inabidi serikali iwaze mikakati ya kuboresha miundombinu kila siku.

Japo nashangaa Mtanzania anaongea kuhusu foleni za Nairobi. Aisei nimeishi Dar, pale hapafai kama kazi yako ni ya mizunguko. Foleni balaa halafu joto kishenzi hadi unahisi utelekeze gari lako.
 
Kwikwikwikwikwi wakujiteKENYA bana. Akili zao fupi kiwango cha sisimizi. Miaka hii mtakoma mtahara mno. Yaani hamuamini yanayotokea mbele ya macho yenu.

Kwikwikwikwi. Kinyaa, Kenya, Kunya, kanya. Jina la nchi yenu bayaaaaa.
 
Kero za foleni Nairobi zipo kweli lakini tunatia juhudi kila siku. Tumejenga bypasses, tumejenga flyovers kadhaa ambazo leo hii ndio Tanzania inawaza kujenga moja kwenye mataa ya Tazara.

Tatizo Wakenya wanakua kiuchumi kwa kasi kubwa. Inabidi serikali iwaze mikakati ya kuboresha miundombinu kila siku.

Japo nashangaa Mtanzania anaongea kuhusu foleni za Nairobi. Aisei nimeishi Dar, pale hapafai kama kazi yako ni ya mizunguko. Foleni balaa halafu joto kishenzi hadi unahisi utelekeze gari lako.

Nakumbuka kuna ile list iliyolewa ya fastedt rising emerging economies......
Nchi zenye zilikua zinakua kwa kasi zilikua zimetajwa zote kenya ilikua kwa top 10, lakini wengine walikua wanashangaa mbona nchi kama Tz haikuingizwa kwa list ilhali inakua kwa kasi kushinda kenya.... Kumbe Tz ilitolewa kwa list maksudi sababu haiezi ikalinganishwa na hizo nchi zengine, ndio ni kweli wanakua kwa kasi lakini bado hao ni lightweight (nikiomba msamiati wa boxing) , hawajafika threshold ya kuingia ring moja na heavyweghts.... wakiongeza kilo kadhaa miaka ya kesho ndo mtaingia kea heavyweights.....

Unaeza kuta kuna miji mingi zaidi ambayo inafoleni mbaya xaidi mara dufu lakini hazikuingizwa kwa list kwasababu uchumi wa hii miji haujafika kiwango flani
 
4f3c55e13c241170c8b49277e6af95fe.jpg

Watu wangu wa Kenya hii inaweza kuwa taarifa mbaya kwao hasa wakazi wa jiji la Nairobi. Ni baada ya kutoka list ya majiji 10 yaliyotajwa kuwa na kiwango kikubwa na foleni za Magari ambazo hupelekea kuwa kera watumiani wa barabara za jiji hilo.

Jiji la Nairobi limetajwa kushika nafasi ya 9 ya majiji yenye foleni zinazoongeza kiwango kikubwa cha hewa chafu ya Carbon dioxide na zinazokera duniani.

Utafiti uliofanywa na mtandao wa Numbeo umezingatia kiwango cha muda unaotumiwa na magari ya kusafirisha abiria kila katikati ya miji na kuonesha kwamba wastani wa chini wa muda unaotumiwa na abiria kwenye foleni ni dakika 65.20 kwa kila safari moja.

Kwa mujibu wa takwimu za serikali ya Kenya zilizotolewa mwka huu mwezi wa Tano zilionesha kuwa Serikali inapoteza kiasi cha shilingi milioni 58.4 za Kenya kwa siku ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni moja za Tanzania kutokana na foleni za magari nchini humo.

Kwa Africa, Nairobi imeshika nafasi ya tatu ikiwa nyuma ya jiji la Pretoria kutoka Afrika Kusini na jiji la Cairo nchini Misri

Hii ndio Top 10 ya majiji yenye foleni zaidi duniani.

1. Manila, Philippines – Dakika za kusubiri foleni: 54.33

2. Pretoria, South Africa – Dakika za kusubiri foleni: 52.25

3. Recife, Brazil – Dakika za kusubiri foleni: 57.85

4. Tehran, Iran – Dakika za kusubiri foleni: 59.84

5. Miami, Florida – Dakika za kusubiri foleni: 59.20

6. Kolkata, India – Dakika za kusubiri foleni: 58

7. Cairo, Egypt – Dakika za kusubiri foleni: 58.61

8. Pune, India – Dakika za kusubiri foleni: 60.86

9. Nairobi, Kenya – Dakika za kusubiri foleni: 65.20

10. Mumbai, India – Dakika za kusubiri foleni: 66.1
Heshima kwa China asee ...wapo wengi Kuliko bara la Africa Lakini hakuna foleni
 
Back
Top Bottom