FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Nchi za Ulaya zimekosa wafungwa kabisa magerezani kufuatia watu kutokutenda uhalifu
Sasa huenda ikawa na chaguzi mbili,moja kupitisha sheria ikiwa mtu anataka kuonja maisha ya jera Kwa matakwa yake aj hiyari yake basi afungwe Kwa muda usiozidi mwezi na anyimwe haki zote anyimwazo mfungwa kama kukutana na mpenzie kimwili au kushiriki tendo la ndoa na baada ya kifungo alipwe pesa Kwa mda huo aliokaa na serikali.
Mbili mtu mwenye uwezo kiuchumi na ambae angependa kuonja maisha ya jela kama utalii na kupitia maisha ya jela waliopitia manabii kama Yusuph na na watu maarufu kama mwanamuziki Eminem,DMX,2Pac Omar Shakur na mwanamasumbwi nguri wa karne ya 20 Mike Iron Tyson
Nb:Nchi ya Sudan Kusini kupitia Kwa rais wake Salva kill imewaachia wafungwa wrote wa kisiasa,nimjuavyo Rais Salva itakuwa aliguswa na mateso ya wafungwa maana hata wakati akihijiwa na kituo cha luninga cha Alijazeera aliwahi kulia akililia mateso ya raia wa Sudan Kusini,bado tunamsubiri kuruhusu wanajeshi wawe wanatembelewa na wake zao wawapo ktk operation mbalimbali kama Marekani anapowapelekaga wasanii kutumbuiza ktk kambi za jeshi nje ya Marekani kama Afrghanstan,Iraq na kwingineko.
Insta