Utafiti; ni umbali uliopo chini ya sentimita 2.5, kwa mwanamke kupata orgasm

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
1,243
Reaction score
758
Utafiti imeonyesha kuwa kwa mwanamke umbile la k, umbali kati ya clitoris (kisimi) na urinary tract(sehemu ya kujojoa) ikizidi sentimita 2.5, au zaidi ya inchi 1, basi huyo mwanamke hawezi kufikia kilele...orgasm wakati wa ku du (sexual intercourse). Sababu umbali huo zaidi hakuna stimulation ya kutosha kusababisha orgasm.

Haijalishi ukubwa wa uume, level of attraction kwa mwanaume au ufundi wa mwanaume kitandani.

Umbile hili husababishwa wakati binti yupo tumboni kabla hazaliwa, wanasema akiwa tumboni na akawa exposed to high level of male hormones androgen ule umbali huongezeka zaidi ya sm 2.5.

Kwa hiyo kutokukojoa kwa mwanamke nikuzaliwa kwake na sio matakwa yake, na sio ukubwa wa uume, au stamina na mbwembwe. Ili kupata orgasm ni lazima stimulation itokee,
Wanasema asilimia 70 mpaka 90 ya wanawake hawapati orgasm kwa tendo la ndoa tu.

Ila wanao claim kupata orgasm asilimia 90 huwa juu ya mwanaume wakati wa tendo --- Big up to all ya cow girls.

Wameongeza kuwa G spot haipo...na kwamba labda ipo kwa wachache sana...ila hakuna ushahidi. Kwa hiyo bidii ifanywe katika kustimulate the Clitoris.

Wameshauri walio kwenye mapenzi kuwa kwa mwanamke ku enjoy na kuwa na healthy sex life si lazima akojoe wakati mnapo du tu, Yuko fit ila mtafute njia nyingine kwa kila individual.

Utafiti umefanywa na ma gynecologists, wamechapisha utafiti wao kwenye Clinical anatomy journal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…