Utafiti niliofanya hapa kanda ya ziwa unaonyesha wakati wengi wa hapa hawataki daraja la Kigongo-Busisi liitwe daraja la Magufuli,wataka majina asilia

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nimepita maeneo haya na kufanya mahojiano na wakazi kadhaa wa hapa, wanasema wangependa jina asilia la maeneo hayo ndio liwe jina la daraja ili kulinda uasili.

Wanapendekeza daraja liitwe KIGONGO BUSISI
 
WAANDAMANE KUPINGA JINA HILO ILI KUFUTA LEGACY YAKE KABISA
 
Back
Top Bottom