asuuu Member Joined Dec 19, 2016 Posts 14 Reaction score 23 Jan 7, 2017 #1 Baadhi ya Wazazi huwa wanaandika Mageti ya nyumba yao. HAPA KUNA MBWA MKALI pindi binti yao anapofikisha Miaka 18. Lakini anapofikisha Miaka 30 bila kuolewa wanaandika Getini. TUNAUZA ICE CREAM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadhi ya Wazazi huwa wanaandika Mageti ya nyumba yao. HAPA KUNA MBWA MKALI pindi binti yao anapofikisha Miaka 18. Lakini anapofikisha Miaka 30 bila kuolewa wanaandika Getini. TUNAUZA ICE CREAM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 5,996 Reaction score 6,290 Jan 7, 2017 #2 Kwenu au wapi?
Okol36 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2015 Posts 1,544 Reaction score 738 Jan 7, 2017 #3 [emoji23][emoji23]