Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
ni 2% ila 98% wote ni wakongwe.Kumbuka wengi tulianza kuitumia jf jabla hatujawa member
Ni ukweli mkuu ww jaribu kufatilia utaona.Umesema hivyo mpaka nahisi ni UKWELI
Umesema hivyo mpaka nahisi ni UKWELI
poa sanaNi ukweli mkuu ww jaribu kufatilia utaona.
kumbeNi kweli kabisa,kilikua kijiwe changu kule aisee hatati
sijaelewa hata
Unazidi kunichanganya au unahisi mm ndo huyo jamaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kabsaa namjua mmoja
Mkuu nawe pia ulifanya utafiti?Je utafiti wako umebaini kuwa kati ya ID 10 za kike nne zinamilikiwa na wanaume?
Simaanishi hivyo.Mkuu nawe pia ulifanya utafiti?