Kuna haja ya kufanya utafiti wa kina na kuomba ushauri au kuisoma taarifa yenyewe vyema kabla ya kuitoa kwenye vyombo vya habari.
1. Si kweli kwamba nusu ya wanaume ni wagumba. Nasema hivi kwa sababu watu waliokwenda kupima tayari walikua na tatizo, hivyo ukiwapima lazima utakuta kuna tatizo. Huwezi kwenda kupima manii kwa shida ya kuumwa jicho, bali unaenda pale baada ya kuona kuna shida kwenye issue za uzazi, hivyo basi uwezekano wa kukutwa na tatizo ni mkubwa kwa wale waliokwenda hapo. Aendeaye sipitali lazima ana shida, na ukiona zinduma ambari iko nyuma..