Utafiti :Punyeto inasaidia kuwa na baby face

Utafiti :Punyeto inasaidia kuwa na baby face

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Nimefanya utafiti kwa miaka kadhaa na kuchukua sampuli kadhaa na nimegundua kuwaa ukipiga punyeto itasaidia kuwa na ngozi soft na laini kama mtoto mdogo hata uwe na michunusi mingi kiasi gani

Haya sasa kazi kwenu ambao mnataka kuwa ma hb na masista duu wa ukweli ,piga punyeto ndo mkombozi wako.


The chemistry behind ni kwamba ,,,ukiwa unapiga puchu unapunguza mlundikano wa mafuta mwilini ambayo kwa namna moja au nyingine ndiyo yanayosababisha chunusi kujaa usoni ,so ukinyetuka mzee unapunguza mafuta automatically unasaidia kukuweka na uso soft.
 
Back
Top Bottom