UTAFITI: Sinza inaongoza kwa wanawake wazuri dar nzima

Kwa wakazi wa Davis Corner watakua wanamjua gay anaitwa Jamali.

Mara yangu ya kwanza namuona ilikua usiku saa saba, yupo mbele yangu kavaa hood na kaptura. Nikawa najisemea huyu mtoto mbona ana kiuno hatari na shundu la hatari.

Nikawa naongeza mwendo nithaminishe na sura, akatokea jamaa nyuma yangu kanizidi speed halafu anafika pale namsikia "Ah Jamali kumbe wewe?" jamali akajibu "Nambie"

Mi nikapunguza speed. Hiyo ilikua aroundi 2022 au 2021
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…