Utafiti: Siri ya Shule au Chuo Kufelisha/ Kufaulisha WAnafunzi

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Wadau, nimefanya 'desk research' na sijaingia kwa kina but kwa analysis niliyofanya nimebaini hii siri ya shule au vyuo kufaulisha/ kufelisha.
Shule zilizoitwa kwa majina ya watu ambao walikuwa na akili na uwezo wa kitaaluma, hata kama hawakusoma sana, zimebeba spirits za hao watu.
Zile shule sasa au vyou zilizobeba majina na watu micharuko au ambao hawana uwezo wa kiakili darasaani nazo pia zimebeba spirits za hao watu. Ndio maana utakuta shule waalimu wanajitahidi kufundisha wee, lakini wanafunzi hawaeliwi. Walimu wanachapa fimbo wee, lakini watoto ndio wanazidi kuwa watukutu! Embu jaribuni kufuatilia na nyie tukamilishe huu utafiti. Lengo ni kuinua taaluma ya shule zetu ili ziwe na ufaulu wa kuridhisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…