Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

Utafiti: Top 10 ya mikoa yenye wanawake wenye sura nzuri

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
 
Mbona Mwanza hujaweka au hujawahi kukutana na mtoto mzuri wa kisukuma cheupeee pee au Ile chocolate colour tiii ya ukweli... Nenda Mwanza utuletee majibu tena
 
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Na mlogolo Mji kasoro bahari banana...
 
Back
Top Bottom