mbona chato haipo?Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Chato nayo ina wanawake kumbe!mbona chato haipo?
Kas kazi hoiyeeeerrrrr....1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
Na mlogolo Mji kasoro bahari banana...Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora
6.kilimanjaro
7.Pemba
8.unguja
9.Dodoma
10.Dar es salaam.
Asanteni
Dom kuna warembo wengi sana. Nahisi inatakiwa iwe top 5Kuna kaukweli hapo ila dodoma sina hakika sana
Uchagani eeeNilitaka kushangaa mkoa wangu usiwepo hivi tang'ana una ubia na twaweza nini kila siku unakuja na tafiti zako