Utafiti uliodumu kwa Miaka 22 kuhusu Mungu yupi ana nguvu katika Ulimwengu wa Rohoni. Hakika Mungu wa Walokole ana nguvu

Waafrica ni wasaliti kwa MUNGU wao
Zifuatazo ni sababu mhimu
1. Kaumba ardhi na vitu kibao vizuri lakin hakuna awezae kuvitumia pasipo maelekezo ktoka ughaibuni mf. Dhahabu, almas, gas , na raslimali nyingi
2. Analo jua, upepo, maji, lakini hawezi kuunda walau umeme ajipatie mwanga lakin anapenda kumlika.
3.hawezi hata kupata ndoto safi za tiba ya maradhi mbalimbali hadi aende kwa wale wanaomwabudu MUNGU wao kikamilifu kujipatia tiba
4. Wataalam wao wa afya hawana uwezo wa kufanyia utafiti aina yoyote ya maradhi hadi tiba zitoke mbali
Kwabujumla hawana walijualo maana hata dini zao ni za mawakala wa ukoloni, zilizowezesha mababu zao kuishi kama watumwa
 
Vp we mdada
 
Wote mna ufahamu unaolingana! shida ni jinsi mnavyoelezea mawazo yenu!! msipingane Kwa maneno makali!! wote mko sawa!! Huwezi kuwa mwana wa Mungu ,usipomkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha wa maisha yako!! Maana yeye ndiye njia ya uzima na kweli! mtu haji Kwa Baba isipokuwa Kwa njia ya Yesu!!
 
Basi huelewi
 
Umenena vema.
 
Huyo Mungu asiyesikia mpaka apigiwe kelele na kupoteza sauti huyo ni shida! Halafu Mungu anayetaka mambo yafanyike kwa miujiza tu na wanaoweza kufanya hiyo miujiza ni wachungaji au wainjilisti nina mashaka naye. Principle yangu ni hii: Kama Mungu anaweza kuwasikia/kuwasikiliza wachungaji/wainjilisti, anaweza kunisikia/sikiliza hata mimi. Kwa hiyo, hakuna haja kupoteza muda kwenda kuombewa. Mungu anatoa kwa kila mtu anayemwomba na siyo tu kwamba mpaka tuombewe na watu wengine. Otherwise, inaweza kuonekana wenye imani kwenye ulokole ni wale tu wanaoweza kuombea wengine - yaani wachungaji/wainjilisti jambo ambalo siyo kweli. Pia ukiona unadharau imani za watu wengine kama walokole wanavyofanya jua kwamba bado imani yako ni ndogo sana!
 
Pazia la hekalu lilishapasuka!!hivyo Kila mtu anaweza kuingia patakatifu pa patakatifu!! Habari ya kuombewa na wengine. Huwa inakuja pale wengine wanapokosa muda wa kujiungamanisha na uwepo wa Mungu, ndio wanatafuta mtu aliyetayari kishajiunganisha na nguvu za Mungu!! hata wewe ukijiweka tayari, hutahitaji mtu mwingine akuombee!!
 
Ni shida ya uelewa tu. Kwani Mungu hajui kwamba tunahitaji hiki au kile mpaka tuombewe? Mungu anatuona hadi rohoni mwetu hata kabla hatujamwomba (Zaburi 139). Kuomba hakuna maana ya "cure" tu, hata "healing". Kwa hiyo, naweza nisipone katika ugonjwa wangu, lakini nina "healing" - nimeukubali na Mungu ananibariki kwa njia hiyo.
 
Kwa hii hakuna haja ya kumuomba MUNGU Duniani au kuombewa ,si ndio unacho maanisha ?

Maana Kama umekiri anakusikia unaomba Ili iweje,
Hivi unaelewa kwanini tunaomba wakati MUNGU anajua Kila kitu kabla Hata hatujaomba ??
 
UNALETA UBISHI TU ILI UONEKANE INASHINDANA NA MLETA MADA. ALISHASEMA UKIFANYA TOBA UNAKUWA WAKE. WEWE UMEKOMALIA YESU KAJA KWA AKJILI YA WOTE. SASA KAMA WENGINE WASIPOMFUATA NA KUMKIRI NA KUFANYA TOBA WANAKUWA WA KWAKE TU KWA VILE KAJA NA KUFIA MSALABANI AU??/?
 
Kuomba maana yake siyo hiyo mnayodhani ndiyo kuomba. Kumbuka Yesu alipokuwa bustanini Gethsemane aliomba "Ikiwezekana kikombe hiki kinipite". Je, kilimpita? Na pale msalabani alisema: "Mungu wangu, Mungu wangu mbona umeniacha?" Hakufa msalabani? Kwa hiyo, maana ya kuomba au kusali ni tofauti sana na ile mliyonayo ya kuona shetani, majini, wachawi na mashetani kila sehemu na kutaka miujiza ambayo hamuezi kuipata.
 

Umekimbia SWALI,

Nimeuliza,

Hivi unijibu ,kwanini imetupasa kuomba wakati MUNGU anajua Kila kitu tunachokiitaji ??
 
Umekimbia SWALI,

Nimeuliza,

Hivi unijibu ,kwanini imetupasa kuomba wakati MUNGU anajua Kila kitu tunachokiitaji ??
Inakupasa kuomba kama ishara ya unyenyekevu. Maana miungu ni mengi na Mkuu wa Ulimwengu huu pia wengine wanamuita Mungu. Hivyo, wewe na mimi tunapaswa kuomba kwa Mungu wetu kuonesha unyenyekevu na utayari wako wa kupokea. Ni asli ya uumbaji.
 

Umekimbia SWALI,

Nimeuliza,

Hivi unijibu ,kwanini imetupasa kuomba wakati MUNGU anajua Kila kitu tunachokiitaji ??
Kuomba au kusali siyo kupata kile unachotaka, bali kile Mungu anachotaka kwako. Wanaoomba ili wapate wanayotaka huwa hawapati, bali wale wanaoomba yatendeke yale Mungu anayotaka na hata ndivyo Yesu alivyofundisha kwenye sala ya Baba Yetu "mapenzi yako yafanyike". Wanamaombi wengi wanataka yale wanayotaka wao na ndiyo maana hukoroma hata kupoteza sauti, lakini huwa hawapati ingawa wanajiliwaza kuwa wamemponya mtu au wanafufua wafu. Yesu alionya wanaotafuta miujiza hawataipata. Hivyo, kuomba au kusali kama kuna maana yoyote ni kutaka yale Mwenyezi Mungu anayotaka yafanyike katika maisha yetu kwa muda na wakati anaoona yeye unafaa na siyo ule tunaoona unafaa kwetu. Nyumba zetu za ibada zimeingiliwa na matapeli na tumesahau Yesu alivyotutahadharisha "kuna watu watakuja kwa jina langu na kufanya hata maajabu/miujiza na kuwapotosha hata watu wema...msiwasikilize." Sisi tunawasikiliza hawa kuliko Yesu alivyotufundisha mwenyewe.
 
Kwa hiyo ulijiumba wewe mwenyewe ukisoma mwanzo nani aliumba nani ?? Mungu anasubiria umtambue kuwa wake . Na yesu hakufa kwa badhi ya watu wote . Alikufa kwa ulimwengu wote
 
Utafiti wako nimeupenda japo ulikuwa utafiti wa hatari mno si shauri mtu mwingine yeyote kujaribu fanya utafiti wa namna hii. ENDELEA KUISHIA KUSOMA NA KUAMINI TUUU.

MUNGU ALIYE UMBA MBINGU NA NCHI HUYO NDIYE MWENYE NGUVU YEYE NI ALFA TENA NI OMEGA, AMEKIMILIWA JINA KUBWA KURIKO MAJINA MENGINE ANAITWA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI. UKILIITA HILO JINA KUZIMU WANAPOTEANA, WACHAWI WANA KIMBIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…