Utafiti uliodumu kwa Miaka 22 kuhusu Mungu yupi ana nguvu katika Ulimwengu wa Rohoni. Hakika Mungu wa Walokole ana nguvu

Kwa hiyo ulijiumba wewe mwenyewe ukisoma mwanzo nani aliumba nani ?? Mungu anasubiria umtambue kuwa wake . Na yesu hakufa kwa badhi ya watu wote . Alikufa kwa ulimwengu wote
Naomba nikuulize,

Yesu alikufa Kwa wote kama usemavyo , je watu wote Duniani tutaenda mbinguni?


Je ,ziwa la moto limewekwa Kwa kwaajili ya watu Gani ,kama wote aliwafia msalabani ??


Je,watu wote wa Ulimwengu mzima Toka Adam mpaka mwisho wa mambo yote Duniani,
Wataoingia mbinguni ?
 
Mimi kuelezea kwakuandika ngumu ila kama ni kwa kuongea chapu , mie ni mwana wa muchu so huwezi nishinda na bible , Yes, Yesu alikufa kwa ajili ya dunia nzima ila hawataenda wote mbinguni, ila wanaruhusiwa kutubu nakuwa mpya tena ndio maana .

Ukienda kanisani unaulizwa je uoo tayari kumpokea Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako unasema ndio basi unakiri , ila Yesu asingekuwa kafa duniani kusingekuwa na misamaha kama hiyo , ambayo unasamehewa dhambi zako na kufanywa mpya .

Ziwa la moto limewekwa kwa ajili ya watu ambao wanadhambi na hawataki kuwa katika njia iwapasao , Yesu ni bwana wakila mtu hata yule aliyena dhambi , ila kama hujakubali alikufia msalabani basi nakuomba msamaha na kukiri kuwa unakataa vyote vya shetani nakuwa wake , basi utaenda kwa motoni kwenye adhabu kali .

Adam hausiani na wewe na utoe maswali yenye akili sio hili la mwisho .

Walikuwa wameshahukumiwa tunaongelea baada ya Yesu kuja kuwa okoa wanadamu sio nyuma yake nikome
 
Sisi tunaabudu Mungu wa hiyo Miungu yote uliyotuhadithia usitake kutuzingua wewe mwenyewe mganga tena wa kinyenyeji.
 
Kwahiyo unasemaje kuhusu uislamu?wanamuabudu Mungu feki?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
..wale waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa Wana .....
Watu wote ni WA Mungu
Lkn si wote ni Wana wa Mungu....
Nafikiri ndo anachomaanisha
 
Upuuzi kama huu ninafrica tu.china wanasomesha watoto science
 
Kwahio ,wakifa na ushoga ,na uzinzi wao na uasherati wao , Bado watakuwa wake?

Na je ,atawapokea huko mbinguni ?
 
Ni upuuzi pia kutokuamini uwepo wa Mungu.kwa sababu it is obvious Kwamba Mungu yupo.
Ambae hatatui matatizo yetu ya njaa magonjwa uharifu .mabadiliko tabia nchi.matetemeko .yuko nayo mbali ila sayansi inayatatua kila siku
 
wokovu unahatua tatu. Na hatua zote znatakiwa kupitiwa ili mtu hakika na kweli awe
ameokoka. Kuna wokovu wa mambo a nyuma-kuokoka kutoka katika dhambi, wokovu wakati
uliopo – ukombozi kutoka katika nguvu za dhambi na wokovu kwa yajayo – ukombozi kutoka
katika uwepo wa dhambi.
 
Ambae hatatui matatizo yetu ya njaa magonjwa uharifu .mabadiliko tabia nchi.matetemeko .yuko nayo mbali ila sayansi inayatatua kila siku
Amekupa akili ili utumie kutatua mambo yote hayo.hataki watu wavivu kama wewe.
 
Sawa tumeaminishwa hivyo lkn ni nani aliyetoa jina la Mungu kuitwa Mungu? Yawezekana lipo jina lake lenye ukuu uliotukuka kuliko hili lkn tumefumbwa Kwa maslah mapana ya kundi Fran la watu walioshiba akili za wengi! Imani zetu zidumu ktk Nia ya uwepo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…