Utafiti uliodumu kwa Miaka 22 kuhusu Mungu yupi ana nguvu katika Ulimwengu wa Rohoni. Hakika Mungu wa Walokole ana nguvu

Amekupa akili ili utumie kutatua mambo yote hayo.hataki watu wavivu kama wewe.
Kwahiyo aliumba magonjwa yawatese watu na yy aangalie kama game wanavosolve .vipi na yy aje aumwe mwezi tu ndo ajue anafanya utoto
 
🙌🙌🙌
 
yaani kwa ubaguzi ulio nao na majisifu yote haya unakosa sifa ya kuwa wa Mungu labda ni kama ulivoita ni Mungu wa walokole lakini si Mungu wa Mbinguni

Efeso 2:8-10 SU​


Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha Mungu; wala si kwa matendo, mtu awaye yote asije akajisifu. Maana tu kazi yake, tuliumbwa katika Kristo Yesu, tutende matendo mema, ambayo tokea awali Mungu aliyatengeneza ili tuenende nayo.
 
Hongera sana mtafiti nimekuelewa na japo kdgo umeweza kunilisha ufahamu Mungu wa walokole azidi kukuweka
 

Hivi mungu anakamatwa na binadamu na kushitakiwa mahakamani ???, tena kwa aliyewaumba ?? Tufikiri nje ya box
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…