utafiti uliofanywa na baadhi ya vichaa humo humo

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Wachunguzi Wamesema kati ya Watanzani Wanne Mmoja ana Kichaa,Kwa hiyo kama Uchunguzi huo Umefanywa na Watu 20 kati ya hao wachunguzi Wanne ni Vichaa,Sa kuna Umuhimu gani Kuamini Uchunguzi Uliofanywa na Vichaa Wenzetu.???.
 
# TeamThinkBig [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na watakaochangia hii thread wanne wa mwanzo mmoja kati yao ni kichaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nawao n vichaa kabisaa kwanza walikmblia kwenye media kujitangaza mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…