Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,768
- 3,622
Inauma SANA lakini ndio ukweli huo. wanaume wengi hawajui kua kumlazimisha mkeo kushiriki tendo la ndoa wakati hataki ni kumbaka. Kwa njia yoyote ile, hata zile zinazoonekana kua za kawaida.
Afanyeje Lizzy? amlazimishe mke wake?Kuna mmoja alikua anamshauri mwenzake afanye hivyo hapa hapa.
Afanyeje Lizzy? amlazimishe mke wake?
Yeahhh.
Jamaa alikua analalamika mke wake anasumbua sana hataki kuexplore mambo,hataki mune aridhike (eti wafanye kwa kiasi. . .LOL. . . kiasi chenyewe mara moja) mwenzake akamshauri amshike kwa nguvu eti atazoea na.kujifunza taratibu.
ndo itamchosha mara 600.
Bora atumie nyama ya ulimi(maneno)
ndio faida ya 'kuwowa' wanasheria hiyo, kila kitu kinachambuliwa from a legal perspective - kama unaamini mumeo anakubaka, peleka mahakamani apigwe miaka 30
Tafiti zilizofanywa na wataalama wa masuala ya afya na jamii zinadai kuwa baadhi ya wanawake waliomo katika ndoa hukumbana na kadhia ya kubakwa na wanaume zao na pia hudhalilishwa. Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali ambalo hujishughulisha na Afya na Maendeleo ya Mtoto-(KIWOHEDE), Justa Mwaituka amesema kuwa wanawake wengi walio kwenye ndoa wananyanyaswa na waume zao kwa kuwa wanalazimishwa kufanya mapenzi kinyume na maumbile pamoja na kufanya kwa njia ya mdomo.
"Iringa tumekutana na wanawake ambao wamezikimbia ndoa zao kutokana na kuingiliwa kinyume na waume zao pamoja na kulazimishwa kufanya ngono kwa njia ya MDOMO" anasema Mwaituka.
That's bullsh*t! Watu kama hao ndio wanaaribu jamii. :ballchain:Yeahhh.
Jamaa alikua analalamika mke wake anasumbua sana hataki kuexplore mambo,hataki mune aridhike (eti wafanye kwa kiasi. . .LOL. . . kiasi chenyewe mara moja) mwenzake akamshauri amshike kwa nguvu eti atazoea na.kujifunza taratibu.
ndio faida ya 'kuwowa' wanasheria hiyo, kila kitu kinachambuliwa from a legal perspective - kama unaamini mumeo anakubaka, peleka mahakamani apigwe miaka 30
makubwa!
hiyo ndiyo dunia na mambo yake.......... lol
Inauma SANA lakini ndio ukweli huo. wanaume wengi hawajui kua kumlazimisha mkeo kushiriki tendo la ndoa wakati hataki ni kumbaka. Kwa njia yoyote ile, hata zile zinazoonekana kua za kawaida.
Kuna mmoja alikua anamshauri mwenzake afanye hivyo hapa hapa.