Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,605
- 1,085
Na watafiti wengine wanasema kahawa hiyo hiyo ukizidisha inaleta high blood pressure...
Utafiti hautafitiwi kwa kufanya utafiti[emoji4]Hizi tafiti naona sasa kuna haja ya kuzifanyia utafiti........
Utafiti hautafitiwi kwa kufanya utafiti[emoji4]
Kweli mdau mpaka sasa kuna ushahidi wa matokeo mengi ya awali ya utafiti yamepigwa chini. Mfano Cholestrol and vidonda vya tumboHizi tafiti naona sasa kuna haja ya kuzifanyia utafiti........
Kweli mdau mpaka sasa kuna ushahidi kuwa matokeo mengi yaawali ya utafita uamepigwa chini. Mfano Cholestrol and vidonda vya tumbo
Mkubwa mimi sina neno na wewe kabisa, tatizo langu ni hizo tafiti, tafiti nyingine wanashauri usinywe kahawa kwa wingi (Kupita kiasi), wengine ndio hawa wanasema unywe kwa wingi kutibu maradhi....au unatakiwa kunywa nyingi kama una maradhi ili iwe ni kama dawa na sio kiburudisho?