Utafiti:Viagra husababisha upofu.

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,261
Watafiti nchini Australia wanadai kwamba dawa inayotumiwa kuongeza nguvu za kiume VIAGRA husababisha upofu baada ya (matumizi ya) muda mrefu.

Kulingana na Watafiti hao kutoka Australia, kiungo fulani katika dawa hiyo inayotumiwa kukabiliana na ukosefu wa nguvu za kiume, huathiri uwezo wa kuona miongoni mwa wanaume ambao wana ugonjwa wa macho.

Vilevile inadaiwa kuwa dawa hiyo pia inaweza kuwaathiri watumiaji ambao wanaona vizuri. Utafiti huo uliofanywa katika panya, ulibaini kwamba hata watu wasio na ugonjwa wa macho.

Chanzo: BBC Swahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…