Utafiti wa GSMA ulionesha athari kubwa ya tozo za miamala ya simu

Utafiti wa GSMA ulionesha athari kubwa ya tozo za miamala ya simu

LUS0MYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
866
Reaction score
1,109
Taarifa ya utafiti ndani ya miezi sita ya uanzishaji wa tozo kwenye miamala ya simu umeleta athari kubwa kwenye mifumo ya fedha ambapo miamala ilipungua kwa zaidi ya 53% lakini pia kulikuwa na upotevu wa ajira kutokana na kufungwa kwa vibanda vya kutolea huduma.

Kibaya zaidi mapato ya Serikali kupitia VAT na Service charge na hata corporate tax yameshuka na kimsingi mapato ya Serikali yamepungua.

Soma zaidi utafiti huo. View attachment spec_tanzania_mm_report_02_22-1(1).pdf
 
Madhara ya kuuza mifugo ili ununue jina la aliyefaulu "La saba", huwa inaendelea mpaka juu, matokeo yake ni kutojua uhalisia wa elimu yako na hivyo kuona mambo ni marahisi tu kwa kutumia pesa.

Ukiweza kununua jina katika umri wa shule ya msingi, vipi hayo madigirii katika umri ulio balehe tayari
 
Hii ndio shida ya kuwapa kazi watu wanaofanyia kazi theory, ataishia kujigamba tu kuwa ana degree, ana masters au phd...kwenye ku practice ni hewa.
 
Madhara ya kuuza mifugo ili ununue jina la aliyefaulu "La saba", huwa inaendelea mpaka juu, matokeo yake ni kutojua uhalisia wa elimu yako na hivyo kuona mambo ni marahisi tu kwa kutumia pesa.

Ukiweza kununua jina katika umri wa shule ya msingi, vipi hayo madigirii katika umri ulio balehe tayari
Hahahahahhahaaaaa akili ni nywele Kila mtu anazake .
 
Ndiyo maana wenzetu wakenya wanatukebehi hasa kwenye elimu zetu za kuungaunga hawa wanaojiita wasomi ni mafala na wajinga kuliko MTU wa darasa la saba
 
Uzuri wa hizi tozo unapiga kotekote, hauchagui chama

Unafanya kazi, unalipwa mshahara unapigwa tozo, unaenda benki unapigwa tozo, unamtumia kwa simu wote mnapigwa tozo, anaenda kununua bidhaa nae anapigwa tozo.

SMH!
 
Back
Top Bottom