Hahahahahhahaaaaa akili ni nywele Kila mtu anazake .Madhara ya kuuza mifugo ili ununue jina la aliyefaulu "La saba", huwa inaendelea mpaka juu, matokeo yake ni kutojua uhalisia wa elimu yako na hivyo kuona mambo ni marahisi tu kwa kutumia pesa.
Ukiweza kununua jina katika umri wa shule ya msingi, vipi hayo madigirii katika umri ulio balehe tayari