Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Thread nyingi zinazoanzishwa humu JF kawaida huwa zinachukua muundo wa aina hii:
- Kuanzia page ya kwanza mpaka ya tano, watu wanakuwa wanajadili mada husika kwa umakini unaotakiwa na wnakuwa wako ndani ya mada muda
- Kuanzia page ya sita mpaka ya kumi linaanza kujitokeza kundi dogo la watoto na kuanza kujadili mada nje ya mada, yaani wanaanza kujadili kitu kingine kabisa
- Kuanzia page ya kumi na moja na kuendelea, kundi hilo la watoto linanza kujadili kwa kutukana kwa kurushiana matusi