FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Dhihirisha usemayo kwa hoja, vinginevyo unadhihirisha upumbavu wakoMtoa post huwa anajiona bonge la genius ila ni mpumbavu kupitiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanaohojiwaWatalaamu gani?
Hao wanaohojiwa
Jibu hoja zao basiNyie Watz bana ,,, Amtofautiani na wafuasi wa kibwetere.
Hiyo video ya Dr Judy PhD YouTube wameitoa ni ya dk 25 yaani yanayo zungumzwa humo yanatisha.Mengi yanazidi kuibuka kuhusu sakata la Covid 19.
Wataalam wa afya wanasema, kinga ya mwanadamu ni kitu endelevu, hivyo kinajiimarisha na kujiboresha siku hadi siku kulingana na jinsi mazingira yanavyobadilika.
Wanasema jinsi binadamu anavyochangamana na wenzake kwa kugusana na kushikana mara kwa mara wanakuwa wanapeana vibacteria na vifungus kwa kiwango kidogo kidogo na hivyo kusaidia mwili wa kila mtu kujijengea kinga mara kwa mara kadri bacteria wapya wanavyoingia kwenye mfumo wake, na unakuta mwisho wa siku kila mtu anakuwa amepata kinga dhidi ya vijidudu husika.
Sasa inapotokea watu wamefungiwa ndani na hawachangamani , wananawa mikono kila saa, wanaziba pua na barakoa ni kwamba ile process ya kupena vibacteria na vijidudu vipya inakuwa imeacha, hivyo mwili unakuwa dormant na haupati tena changamoto za kuweza kuboresha kinga ya mwili, kwahiyo siku watakapoachiliwa toka lockdown na kuruhusiwa kuingia mtaani, mwili utaanza kukutana na vibacteria vioya vilivyo mutate kidogo tu, ila kwakuwa mwili ulikuwa haupati hivyo vibacteria in small doses na kujitengenezea kinga, basi utakuta vyote vinakupiga kwa wakati mmoja, na kwakuwa vyote ni vipya kwako basi utashangaa hata UTI inakurudishisha namba, ilihali hapo awali UTI ulikuwa huwezi hata kuifeel kama unayo.
Wataalam hao wamependekeza watu wasipewe chanjo wala dawa hata kama itapatikana, hadi watu wote wawe wamekwisha ambukizwa na kupona. Video chini ina ufafanuzi zaidi. Shikamoo JPM.
View attachment 1453359
You tube ni ya mabeberu tu...Haina mchango katika jamii maana ukweli ukisemwa wanaitoa video inatupwa huko ila mambo ya kipuuzi wanaachaHiyo video ya Dr Judy PhD YouTube wameitoa ni ya dk 25 yaani yanayo zungumzwa humo yanatisha.
Cha ajabu nilijaribu kuiupload hiyo video kwa IOS ikagoma, nikatumia android ni ikakubali, nikirudi kuiangalia kwa kutumia simu ya IOS inakata kuplay, mambo ya ajabu kabisaYou tube ni ya mabeberu tu...Haina mchango katika jamii maana ukweli ukisemwa wanaitoa video inatupwa huko ila mambo ya kipuuzi wanaacha
Mkiambiwa Magufuli anazungumza na Mungu muwe mnaelewa
Kuna video inamhusu Bill Gates na Chanjo zake wametoa na nyingine ya Trump wametoa nyingi zinaongelea Covid 19 wametoa.Cha ajabu nilijaribu kuiupload hiyo video kwa IOS ikagoma, nikatumia android ni ikakubali, nikirudi kuiangalia kwa kutumia simu ya IOS inakata kuplay, mambo ya ajabu kabisa
Kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia kuhusu hii CovidKuna video inamhusu Bill Gates na Chanjo zake wametoa na nyingine ya Trump wametoa nyingi zinaongelea Covid 19 wametoa.
Nyuma ya pazia Covid ni biashara yenye faida sana siku zijazoKuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia kuhusu hii Covid