Synnovate inajitahidi kukusanya data lakini nadhani kwa jinsi tuluvyo watanzania, mara nyingi ni wanafiki... we always say what someone wants to hearKuna taarifa kuwa Synovate wapo njiani kutoa matokeo ya maoni ya watanzania kuhusiana na uchaguzi 2010.
Wasiwasi wangu ni kuwa bado watatumia sampuli ya watu 1,000 - 2,000 ambapo huenda wasipate uhalisia wa mambo ingawa report yao itaweza kutumiwa na baadhi ya wagombea kisiasa. Kwakuwa sijajua nini kitaongelewa basi fuatilia comments chini...
Tutarajie nini?
Uzuri ni kwamba kwa sasa hali halisi inaonekana uwanjani tofauti na wakati uliopita, hata kama wakifanya spinning watakuwa wanajidangaya wao na watu wao. Mimi ninachoomba vyama na wagombea wao iwe CCM, Chadema au vyama vingine wasibweteke na matokeo yoyote yawe mazuri au mabaya, waendelee kuwafikia wananchi wengi zaidi na matokeo halisi yatapimwa tarehe 31/10.Hawa ni vibaraka wa CCM, matokeo yatakayotoka yatakuwa na lengo la kuijenga CCM zaidi kuliko kutaka kujua maoni ya Watanzania kuhusu uchaguzi ujao. Hapa tutarajie blah blah zisizo na mashiko
Hapa nimekubali. Wabongo kazi yao ni kuogopa kwamba watu watawafunga wakichagua chama tofauti.:confused2:Synnovate inajitahidi kukusanya data lakini nadhani kwa jinsi tuluvyo watanzania, mara nyingi ni wanafiki... we always say what someone wants to hear
kwahiyo results zitategemea sana methodology na mindset ya researchers/data collectors
sadly, the results wont matter much as the game outcome is almost certain predetermined and closed
sio rahisi, unless kumetokea changes kubwa sana kwenye data colletion tactics and tools... the best way ya wao kupata honest feedback ni kuweka open ended questions na focus group discussions, otherwise ni kama zile zetu za form four, six na undergraduate... tunapika data iendane na hypothesisNauliza: Hivi hawa Synovate katika maswali yao watawataka wanaoulizwa kuweka pia into consideration kwamba mgombea JK alianguka jukwaani (not first time) na kwamba huenda afya yake ni kikwazo kuwa rais any more?
Kuna taarifa kuwa Synovate wapo njiani kutoa matokeo ya maoni ya watanzania kuhusiana na uchaguzi 2010.
Wasiwasi wangu ni kuwa bado watatumia sampuli ya watu 1,000 - 2,000 ambapo huenda wasipate uhalisia wa mambo ingawa report yao itaweza kutumiwa na baadhi ya wagombea kisiasa. Kwakuwa sijajua nini kitaongelewa basi fuatilia comments chini...
Tutarajie nini?
nauliza: Hivi hawa synovate katika maswali yao watawataka wanaoulizwa kuweka pia into consideration kwamba mgombea jk alianguka jukwaani (not first time) na kwamba huenda afya yake ni kikwazo kuwa rais any more?