Utafiti wa vichaa.

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2015
Posts
23,372
Reaction score
54,943
Siku za hivi karibuni kwenye magazeti mbalimbali kulichapishwa habari kuhusiana na utafiti wa vichaa uliofanywa hapa nchini.

Utafiti huo ulionesha kuwa kati ya watanzania wanne basi mmoja ni kichaa, sasa swali langu kwa hawa waliofanya utafiti huu je wao walikuwa wangapi wakati wanafanya huu utafiti na kama walizidi wanne ina maana kwamba kuna vichaa ndani ya utafiti huu.

Naomba idadi yenu nyie mliofanya huu utafiti nijue vichaa wangapi walihusika katika huu utafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…