Utafiti: Wachaga wazaliana kwa kasi

kwnye huo utafiti wao ni wapi walipoönyesha wachaga wanazaa na ndugu zao kama tu sio prejudice dhidi ya hawa watu??mkuu u will pay these fictitious accusations through ua nose! Jus a matter of tym folk.
 
Tuliumbwa ili tuje kuijaza dunia. Uzazi wa mpango ni mbwembwe za wazungu
 
Na bado.....tutazaa hadi tuwe kama wachina kwnye nji hii hadi we kamerun ukimbie!!
 
Kweli the higher you go, the more the enemies.................kuna mijamaa humu kwa sababu ya wivu kwa wachaga inafikia mpaka hatua ya kutukana, kuweni na uhakika sio mnaleta ukabila na kutoa mpaka matusi. MOSHI - Mungu Onyesha Sasa Hela Ilipo

A word ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…