Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
laiti hizo data zingekuja tokea kwa mwaka huu 2010, lakini ooh bahati mbaya twaota tu
Utafiti haupingwi majukwaani, bali kwa kufanya utafiti mwingine na kuthibitisha kwamba ule wa zamani haukuwa sahihi. Uzalendo sio kupinga utafiti bali kuufanyia kazi mapema kabla mambo hayajaharibika.
Hivi wiki mbili zijazo kama utafiti utaipa CCM 60, na Chadema 40, utaukataa? Mfalme akiwa uchi, heri kuambiwa mapema avae nguo kuliko kumshabikia wakati unajua kabisa hajavaa nguo.
CCM wanaweza kushinda lakini sio kwa kishindo; Pia CCM wanaweza kushindwa japo sio kwa kishindo. Hakuna kisichowezekana
Mnasemaje wakuu wenzangu?
Mbona ipo tupu tupu nani kafanya huo utafiti, wapi na vigezo vilivyotumika mpaka ikaja figa hiyo...vinginevyo niamini kuwa wapinzani wanaweza kuishinda CCM kwa kishindo tu.
Utafiti umefanywa na nani?
naona mzizi mkavu ameanza ku-recycle hizi thread...
Kweli huu mzizi mkavu, Hauna hata source!!!!
Heading ya thread na maelezo yake haviendani, It seem mzizimkavu was just dreaming!!
laiti hizo data zingekuja tokea kwa mwaka huu 2010, lakini ooh bahati mbaya twaota tu
Tunaomba source pls!
sasa hapa mzizimkavu which is which
Chadema 44% na CCM 41%
CCM 60, na Chadema 40
na hii ni ratio ya kura za Raisi? na vipi wabunge?
Hiyo Avatar yako mmh!!
Hiyo Avatar ndio uthbitisho unaotufanya tuishi kwa amani na uhuru dunia yote,vinginevyo tungetiwa majambia na kuamuriwa jinsi ya kuishi na watu ambao hata wao wenyewe hawajui siku ya mwisho watakuwa wapi pale mwana wa Adamu atakaporudi kuwahukumu wazima na wafu.
Axix of Evil... true terrorists!! US & ISRA HELL
Mkuu CUF haijawahi kushindwa uchaguzi Zanzibar...nazungumza uchaguzi kwa maana yake.Naona bado hatujapata somo kutokana na Mrema kushindwa '95 na CUF kupoteza Z'bar mara 3 mfululizo.
utafiti huu naukataa... haiwezekani chadema iwe juu ya CCM
Najua hata utakavyoshindwa mwezi kesho utakataautafiti huu naukataa... haiwezekani chadema iwe juu ya CCM
Najua hata utakavyoshindwa mwezi kesho utakataa