Utafiti: Wakenya wanampenda Magufuli kwa zaidi ya %100

Hata hawa hapa JF wenye kuonyesha chuki kwa Magufuli, ni wivu na kutokubali hadharani baada ya kugundua kwamba hawana akili mbele ya watanzania, ila ndani ya fikra zao wanakubali kwamba Magufuli ndio rais bora kwa sasa hapa Africa.
 
Ukiwa na wivu siku zote huwezi kufanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…