Ungekuwa umeweka avatar ya picha ya pesa.... ningeuamini huu utafiti.Usafiti usiokuwa kuwa kweli mkuu
Hahahaaaa umenifanya nicheke kwa sauti. Asubuhi njema.Ukishamwomba Mungu usisahau ni bikira Maria pekee aliyepata ujauzito kwa uwezo wa Roho Mtakatifu...
Nadhani ushanielewa... unaweza kunifuata PM ili tuanze mkakati wa kuweka mtoto kwenye tumbo lako
Nakwambia hatari, mwaka niliopata kizari cha kudandia ndege kwenye bawa kwenda kwa George Kichaka enzi hizo, kwanza kwenye ndege sikutaka hata kula( ningeanzaje kuchagua menu na kueleweka). Kufika chuo, mwezi mzima Maprofesa siwaelewi wanaongea nini ima kisubi, kimakonde au kisukuma.Hahahaaaa... kina wenyewe hiki kikabila. Kikiamua kukukataa kinakukataa tena kwa kukuumbua.
Asanteee... nadhani hata avatar yangu na yako zinaendana. Lazima tutoe kitoto kizuri kama CleopatraHahahaaaa umenifanya nicheke kwa sauti. Asubuhi njema.
Hakina maana kabisa... huoni hata namba moja pamoja na kofia tatu kichwani bado kinamletea tabu??Nakwambia hatari, mwaka niliopata kizari cha kudandia ndege kwenda kwa George Kichaka enzi hizo, kwanza kwenye ndege sikutaka hata kula( ningeanzaje kuchagua kuchagua menu na kueleweka). Kufika chuo, mwezi mzima Maprofesa siwaelewi wanaongea nini.
Asee kikristu, aaah, muacheni mwenzenu asome mafaili tu. Msimdrive!
Kabisa na wewe ungeweka yale mambo yako babu kweli hata me ningeaminiUngekuwa umeweka avatar ya picha ya pesa.... ningeuamini huu utafiti.
Umeona enh? Utafiti wa mashaka huu...Kabisa na wewe ungeweka yale mambo yako babu kweli hata me ningeamini
We mzee wacha ngendembweKama ambavyo mimi ni mtoto, sio?
Uko sahihi kabisa, soon ntamaliza darasa la saba B shule ya msingi Mtakuja.
Asante Anko Magu kutuletea laputopu sisi wanaKayumba. Mnaosoma St. Mtakatifu academy Mungu anawaona, tutakutana kwenye bodi ya mikopo.
Hivi si tuna makubaliano yetu?We mzee wacha ngendembwe
Kabisa ajipange tenaUmeona enh? Utafiti wa mashaka huu...
Nimemskia anasema anapitia mafaili kwanza!Hakina maana kabisa... huoni hata namba moja pamoja na kofia tatu kichwani bado kinamletea tabu??
Unaweza kudhani hapendi safari za nje kumbe anaogopa asije akaumbuliwa na hiki kikabila.
Hili neno jipya kwenye kamusi ya kiswahili na ile ya kiswakinge, hebu fafanua mrembo na "caretaker" kama avatar yako inavyoonyesha.We mzee wacha ngendembwe
Njoo huku home nikufafanulie[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13]Hili neno jipya kwenye kamusi ya kiswahili na ile ya kiswakinge, hebu fafanua mrembo na "caretaker" kama avatar yako inavyoonyesha.
Msoga? AuNjoo huku home nikufafanulie[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13]
Wee miss chaga huoni huu utafiti hata wewe unaendana nao? Unadhani hilo ua la nini kama sio la kuwavutia akina babu asprin wapande dau! Huu sio wa twaweza huu.Kabisa ajipange tena