muoga wa jf
Senior Member
- Jun 27, 2016
- 198
- 224
Kuna sehemu kameandika house girl anakalazimisha kafanye naye mapenzi. Watoto wa mama bhanaUmepgwa banned h
Juzi tu hp Leo umekuja na ID nyingine, na usipokaa vizuri Siku ya Leo huimalizi
Hata we we ni masikini mbn mda wote unapost ujinga
Onilini = onlinenimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
Sikuerewi wewe masikini matajiri hawana muda kutwa onilini kama joseee..muuza mitumba wa bomaOnilini = online
Mala = mara
Matajili = matajiri
Xoo = so
Halafu hata ulichoandika hakieleweki
Go back to school
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepaona, eti kanadai sijui nimwambie mama katakua kachaliiieeee[emoji125]Kuna sehemu kameandika house girl anakalazimisha kafanye naye mapenzi. Watoto wa mama bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna shule hapo, huyu atakuwa alifel darasa la nne, huo uandishi ni aibu tupuShule hazijafunguliwa kumbe?
Yani napata shida kuelewa ulichoandika....Sikuerewi wewe masikini matajiri hawana muda kutwa onilini kama joseee..muuza mitumba wa boma
Hiyo ndo nini?Lol,
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mkuu hiyo a.k.a uliyonipa nimeipenda MUUZA MITUMBA WA BOMASikuerewi wewe masikini matajiri hawana muda kutwa onilini kama joseee..muuza mitumba wa boma
Shule hazijafunguliwa kumbe?
Anhaaa... wanasubiria second selection sio? Vilaza kweli nomaZimefunguliwa ila hawa hawakupita kwenye chekecheo la necta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
Laugh Out Loud.Hiyo ndo nini?