Kuandika kwenyewe hujuiMIMI SIKICHAA MWANAFUNZI WA UDISIM NAO NAFANYA LISECHI YANGU KUHUSU MASIKINI JEI FYU
Duu! Na wewe ni great thinkers? Apana kwa ushauri wa bure rudi huko Facebook! Wewe kati ya haya hapa chini mojawapo linakuhusunimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
Kuna haja ya kuwepo shindano la wapost pumba![emoji24] [emoji24]IRA SI UMEEREWA TYU MUKUU
HahahahaKuna haja ya kuwepo shindano la wapost pumba![emoji24] [emoji24]
Hapa sawa yote yanamhusu.Duu! Na wewe ni great thinkers? Apana kwa ushauri wa bure rudi huko Facebook! Wewe kati ya haya hapa chini mojawapo linakuhusu
1. Ratio ya 1:4 na wewe upon.
2. Jamiiforums umeijua hivi Karibuni.
3.wewe kabla ya kudownload I con ya jf ulikuwa Facebook
4. Shule umeishia form four wakati wa big results now
5. Wewe unapenda kuangalia move za kibongo aka bongo move
6. Unaishi kwa baba na mama yako wakati una umri Mkubwa
7. Hapa jf unapenda sana jukwa la mapenzi na uhusiano
8. Kama una kazi sio yako ni ya ndugu yako
9. Kuja jf ulishauriwa hukujua umuhimu wa wanajf na jf yenyewe
10.wewe ni maskini ambapo ulisharizika nao.
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
Stress za kufeli hazijawah kumwacha mtu salama
Dada umetisha[emoji119]Onilini = online
Mala = mara
Matajili = matajiri
Xoo = so
Halafu hata ulichoandika hakieleweki
Go back to school
Kwenye R unaweka L, rudi shule mkuunimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
Sikuerewi-Sikuerewi wewe masikini matajiri hawana muda kutwa onilini kama joseee..muuza mitumba wa boma
Sikuelewi - na sio sikuerewiSikuerewi wewe masikini matajiri hawana muda kutwa onilini kama joseee..muuza mitumba wa boma
Kwanza mwanangu, huwez kufanya utafiti kwa siku moja kisha ukatoa hitimisho.nimefanya huo leo watu wengi wapo onilini na mala nyingi matajili wapo bize xoo jf wengi masikini hawana kazi za kufanya hasa WAHENGA
Ata ungesema mwanafunzi wa Harvad university, kwa utafiti huu ata Facebook hawatakupokea maana wengi Facebook wanaandika kwenye profile zao wanasoma UDSM.Kuandika kwenyewe hujui
Hahahaha
Ata hiyo back to school hajakuelewa mwambie .Dada umetisha[emoji119]
Mefanyaje mimi?
Sijui kama amechelewa. Ngoja nipande mlimani nikamfanyie maombiKwanza mwanangu, huwez kufanya utafiti kwa siku moja kisha ukatoa hitimisho.
Halafu pia una mwandiko mbaya. Mfano- neno online wewe umeandika onilini, xoo hiyo sijui ni neno Gani.
Masahihisho:
Ukitaka utafiti wako wako fair kwanza tuwekee sifa za kutafiti, tuambie dependent, independent na constant variables zako. Kisha scope and time frame na sample size yako.
Cha pili jitahidi kurekebisha mwandiko wako.
Mwl
Sent using Jamii Forums mobile app