Utafiti wangu binafsi

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Katika pitapita zangu za mizunguko yangu ya kila stendi nimefanya kautafiti fulani nikagundua kwa asilia kubwa ya wanaume hv ni kwa nini hua kwa mfano wakiwa wanatembea kwa miguu labda akatokea mmoja akaingia chaka kujisaidia haja ndogo hapo hapo na mwingine nae atajisaidia hata kama alijuwa hana haja! Na hapo hapo utafiti ukaendelea kila anaekojoa lazma atee hapo mate! Hivi hii hua ni tabia.. au mazoea.. au ni hulka ya mtuu!!naombeni kujuzwa wakuu hv huwa inakuwaje hapo!!nawasilisha
 
Kwa uku mbeya kawaida mana mkojo unabana mda wote so sishangai tukigongana na mwenzangu...
 
Kama sayansi hiyo hukuipata darasan, jaribu gugo majibu utayapata vema!
 
Ni asili hiyo tumeumbiwa, pale unapokojolea unapatemea mate, na mazoea pia yamezidi.

Mambo mengi hayana tafsiri sahihi, kiafya, kisayansi, wala kidini, tumejikuta tu ipo hivyo.

Mfano mdogo, ushawahi kujiuliza mnyama mbwa (hasa dume), kama umewahi kufuga, kwa nini kila baada ya hatua kadhaa, kama unaenda nae mbali, lazima akojoe kidogo na kuendelea na safari?!

Maoni yangu. Kama kuna mdau anaushahidi wa kueleweka na kitaalamu, auweke humu ili tujifunze zaidi.

Ila kama ni utafiti wako, mbona kama haukuja na majibu vile, na ni kama umeuleta kwa njia ya swali.

Ahsante!
 
Na mm nikuulize swali kwanini ukimwona mwenzako anakula kitu unakokipenda mate yanajaa mdomoni? Jibu la swali hilo nadhani yatakuwa pia majibu ya swali lako.Kuhusu kutema mate hapo cjui
 
Huu si utafiti hii ni jinsi gani ubongo wako unawaza mambo yasio na maana kwanza mizunguko yako ni ya stend huna kazi ya kufanya

Pili unafuatilia wenzako nani anaenda kukojoa ni jinsi gani ulivyo mvivu endesha hata boda boda kama huna issue
Mwisho usituletee mawazo yako malemavu then unaita utafiti
 
Kutema mate naamini mtu mwenye hila mbaya na ilo kojo anashindwa kuifanya hio hila yake mbaya ila saa nyingine tunatema kwa sababu ya harufu mbaya na uchafu wa hapo tunapokojπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚;-);-);-)

kuna saa unabanwa unatamani ulimwage ila unakua nawaswasi kama panaruhusiwa au la ila akilianzisha moja unajiaminiii πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu we ume maliza aisee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…