Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Katika kupita pita Kwangu kwa majukwaa tofauti ya Jf nimegundua kwamba humu ndani kuna Ke wengi zaidi kuliko Me, Je :
1. Ke ndio wanaongoza kwa kutendwa ndio maana wako humu ili kujifariji/kufarijiwa ?
2. Ke ndo wanaoongoza kwa kutenda wenza wao hivyo wako wengi humu ndani ili kujifunza mbinu mpya za kuendelea kuwaliza na kuwaangaisha jamaa zao?
3. Ke ndo wanaojua zaidi kupenda ndio maana wako zaidi humu ili kujifunza zaidi na kajiimarisha ktk nyanja husika ?
4. Ke ndio wenye experience zaidi na suala la mahusiano na mapenzi kwahiyo wako hapa ku share mawazo na wale wanaokutana na changamoto mbalimbali ktk mahusiano yao ?
5. Au wako mawindoni?
Mimi sielewi.......