Utafiti wangu sasa umekamilika

Utafiti wangu sasa umekamilika

MWALIMU DAIMA

Senior Member
Joined
Mar 4, 2023
Posts
129
Reaction score
263
Asubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015.

Katika Uzi huo nilijipa uhusika kama nili fall in love at the first na nili invest a lot of effort kwa huyo binti. Katika Uzi huo nikasema nataka nivuruge ndoa ya huyo binti kwa Giza au Nuru.

📌📌 Ukweli ni kwamba Mimi ni mwalimu nilikuwa kwenye research yangu ndogo, comment za wa member wengi zilionesha Kuni attack na kunishambulia vikali kuwa mm si mwanaume wenye Akili, baada ya comment hizo nimekuja na mapendekezo yafuatayo:📌

01. Ni wakati sahihi sasa serikali kuanzisha somo la mahusiano mashuleni yaani msingi hadi vyuoni.
02. Comment za watu wengi zinaonesha wengi hawana ufahamu wa mambo ya mahusiano.

📌📌📌📌 Mtu pekee alie jaribu ku comment kwa hekima na mariifa ni mshana Jr, I appreciate you bro📌📌 mwingine ni amehlo some how kaonesha ukomavu katika ushaur juu ya a mahusiano

Ni mm mwalimu daima,
Kataa ndoa
 
ndo maana waalimu mnatukanwa,wachache msio na akili mnawaponza waalimu wengi wanaojielewa na kujiheshimu
 
We mwalimu we mwalimu mwalimu

Nimekuita mara tatu

Kwahyo majibu ya jf ya waficha id's tayar unaona yamekupa majibu ya watanzania wote!
 
Asubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015.
Katika Uzi huo nilijipa uhusika kama nili fall in love at the first na nili invest a lot of effort kwa huyo binti. Katika Uzi huo nikasema nataka nivuruge ndoa ya huyo binti kwa Giza au Nuru.
[emoji419][emoji419] Ukweli ni kwamba Mimi ni mwalimu nilikuwa kwenye research yangu ndogo, comment za wa member wengi zilionesha Kuni attack na kunishambulia vikali kuwa mm si mwanaume wenye Akili, baada ya comment hizo nimekuja na mapendekezo yafuatayo:[emoji419]
01. Ni wakati sahihi sasa serikali kuanzisha somo la mahusiano mashuleni yaani msingi hadi vyuoni.
02. Comment za watu wengi zinaonesha wengi hawana ufahamu wa mambo ya mahusiano.

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419] Mtu pekee alie jaribu ku comment kwa hekima na mariifa ni mshana Jr, I appreciate you bro[emoji419][emoji419] mwingine ni amehlo some how kaonesha ukomavu katika ushaur juu ya a mahusiano

Ni mm mwalimu daima,
Kataa ndoa
Mwalimu halafu unakua na dhana ya kataa ndoa, wewe ndo wale FORM FOUR FAILURE mnaokimbilia ualimu pambaffffff..............! Tahiiira weee
 
😂😂😂 umeyavaa mwalimu, hata kataa ndoa crew haiji kukupa tagi 😂😂 wamekutelekeza..
 
Reasoning capacity yako ni ndogo kama Mbuzi!
Endeleeni kukaa na kupeana shauri za kijinga na mwalimu mweenzako. Kiufupi hiyo comment uliyojibu hakuna hata elezo la kulifanya kama point bali ongeomba reasons zilizonituma niseme hivyo siyo wakurupuka tu.
 
Halafu kuna mwana Jf alichangia hapo huwezi chukua majibu ya humu Jf pekee ndio yakamilishe tafiti zako huo ni unyauba
 
Generalization bro, akili za sisiwa bongo wengi zipo common difference is too minor
 
Asubuh ya Leo nimepost Uzi ambao ukilnesha kuwa nataka kuvuruga ndoa ya Binti nilie mpenda ila akaniacha toka 2015.

Katika Uzi huo nilijipa uhusika kama nili fall in love at the first na nili invest a lot of effort kwa huyo binti. Katika Uzi huo nikasema nataka nivuruge ndoa ya huyo binti kwa Giza au Nuru.

[emoji419][emoji419] Ukweli ni kwamba Mimi ni mwalimu nilikuwa kwenye research yangu ndogo, comment za wa member wengi zilionesha Kuni attack na kunishambulia vikali kuwa mm si mwanaume wenye Akili, baada ya comment hizo nimekuja na mapendekezo yafuatayo:[emoji419]

01. Ni wakati sahihi sasa serikali kuanzisha somo la mahusiano mashuleni yaani msingi hadi vyuoni.
02. Comment za watu wengi zinaonesha wengi hawana ufahamu wa mambo ya mahusiano.

[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419] Mtu pekee alie jaribu ku comment kwa hekima na mariifa ni mshana Jr, I appreciate you bro[emoji419][emoji419] mwingine ni amehlo some how kaonesha ukomavu katika ushaur juu ya a mahusiano

Ni mm mwalimu daima,
Kataa ndoa
Thanks for the compliment MWALIMU DAIMA
 
Back
Top Bottom