Jana si ulikuwa unataka ushauri pia "una siku 12 tangu uache punyeto lakini mapaja yanakuwasha [emoji16][emoji16] " leo tena umedata na jambo tofauti,, una tatizo we jamaa [emoji16]
Hiyo kitu si sahihi tayari umeonyesha mapungufu kwenye tafiti zako, hiyo mbinu uliyotumia kwenye njia za kutafuta suluhisho tunaita ni dhanio, ambayo hutumika si kwa kukupa majibu ya mwisho bali kujaribu kubashiri tatizo.
Mfano rahisi: mafundi kama vile magari,umeme nk akipelekewa kifaa kimeharibika atafanya dhanio, atawasha kifaa husika na kuona utendaji wake, hapo atabaini vitu kadhaa kutokana aidha mlio, harufu nk kupitia hilo atakua amefanya dhanio kwamba tatizo litakuwa lipo sehemu fulani, kutokana na uzoefu wake atajua sasa wapi aanzie ili kujipa usahihi wa tatizo husika.