Utafiti waonyesha wagonjwa walio na kipato kikubwa wanapolazwa mahospitalini hutembelewa na watu wachache ambao pia hukaa nao muda mfupi

Utafiti waonyesha wagonjwa walio na kipato kikubwa wanapolazwa mahospitalini hutembelewa na watu wachache ambao pia hukaa nao muda mfupi

We chagua tu uwe masikini ufe upate watu wengi au uwe tajiri uzikwe na familia yako tu

By the way watu wakija wengi msibani kwako unakuwa unafarijika sana kwenye jeneza eeenh
 
Kama kawaida yetu sisi masikini kutafuta sababu za kujifariji, ni heri kuwa na watu wachache wenye upendo wa dhati kuliko kuwa na watu wengi ambao wengine ni wanafiki, waswahili sijui kwanini tunataka kuonekana kwamba tunapendwa na watu hata kama wengine hakuna wanachotuoffer
 
Lengo la matokeo ya utafiti huu ni kuwasaidis watu wenye kipato kikubwa kuongeza social network na watu wa chini, ambao ndio huwa na muda wa kuja hospitali hata Kama hawaleti kitu
 
Utafiti wako hauna ukweli.Tajiri kwanza hatibiwi hizi hospitali zenu za kimasikin
 
Ni kweli maana matajiri huzungukwa na watu walio busy lazima wasije wengi
Lakini pia wanakuwa kwenye hospital zenye uangalizi mzuri Sasa muwepo ili iweje
Mwisho Mungu atusaidie tupate hela hakuna namna
 
Kama kawaida yetu sisi masikini kutafuta sababu za kujifariji, ni heri kuwa na watu wachache wenye upendo wa dhati kuliko kuwa na watu wengi ambao wengine ni wanafiki, waswahili sijui kwanini tunataka kuonekana kwamba tunapendwa na watu hata kama wengine hakuna wanachotuoffer
mimi Kama raisi wa ma jobless pro max, naunga mkono hoja yako.
 
Back
Top Bottom