joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Utafiti uliofanywa unaonyesha kwamba 33% ya bajeti ya nchi huishia mifukoni mwa watu wachache ambao wameikamata serikali yote ya Kenya akiwemo na rais pia, na kwamba serikali ni dhahifu sana haina uwezo wa kuwafanya lolote, vita dhidi ya mafisadi vilivyoanzishwa na Uhuru Kenyatta havijazaa wala haviwezi kuzaa matunda.