joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hawa jamaa wanachojua ni kupiga domo tuu.Vita dhidi ya ufisadi serikali ya Uhuru ilikuwa ni propaganda ili wapate misaada kutoka kwa wahisani maana ilifikia kapu la bajeti lilikuwa linasuasua. Wazee fake gold ila ufisadi Kenya kama pipa na mfuniko.
Hiyo katiba mpya tuliyoambiwa "is the best in Africa" mbona hatuoni mabadiliko zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi kulipa idadi kubwa ya wanasiasa katika county level?. Sasa hivi wakenya wengi wanahisi njia pekee ni kuondoka kwa Uhuru Kenyatta madarakani, ameshindwa kazi.Hawa jamaa wanachojua ni kupiga domo tuu.
Kila mchakato unaofanyika kenya ni fursa ya upigaji.Hiyo katiba mpya tuliyoambiwa "is the best in Africa" mbona hatuoni mabadiliko zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi kulipa idadi kubwa ya wanasiasa katika county level?. Sasa hivi wakenya wengi wanahisi njia pekee ni kuondoka kwa Uhuru Kenyatta madarakani, ameshindwa kazi.
Anataka kumrudisha Raila amsaidie kutumbua majipu.UK amezungukwa na majizi kila konaHiyo katiba mpya tuliyoambiwa "is the best in Africa" mbona hatuoni mabadiliko zaidi ya kuongeza mzigo kwa wananchi kulipa idadi kubwa ya wanasiasa katika county level?. Sasa hivi wakenya wengi wanahisi njia pekee ni kuondoka kwa Uhuru Kenyatta madarakani, ameshindwa kazi.
Ukisikiliza huu mjadala hadi mwisho, unaonyesha wazi kwamba wakenya wengi wamechoka, wangependa itokee kama ilivyotokea Sudan. Hali ya maisha kwa ujumla ni mbaya sana kwasasa, Serikali ya Kenya ni dhahifu sana.Anataka kumrudisha Raila amsaidie kutumbua majipu.UK amezungukwa na majizi kila kona
Uhuru katumia pesa za wakenya kupigana vita isio na maana,ikiwemo kujenga ukutaUkisikiliza huu mjadala hadi mwisho, unaonyesha wazi kwamba wakenya wengi wamechoka, wangependa itokee kama ilivyotokea Sudan. Hali ya maisha kwa ujumla ni mbaya sana kwasasa, Serikali ya Kenya ni dhahifu sana.