Bora iwekwe TOZO humoUtafiti wa AIIMS wa Nchini India umeeleza kuwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita Watu 330 wamefariki wakati wakiwa wanapiga picha kwenye maeneo hatari kama kwenye majengo marefu, Barabarani n.k kwa lengo la kupost kwenye mitandao yao ya kijamii.
Utafiti wa AIIMS wa Nchini India umeeleza kuwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita Watu 330 wamefariki wakati wakiwa wanapiga picha kwenye maeneo hatari kama kwenye majengo marefu, Barabarani n.k kwa lengo la kupost kwenye mitandao yao ya kijamii.
za wanajamii..Mitandao ya kijamii imeharibu akili
Picha tafadhaliWanaopiga picha wakiwa wanatafuna papuchi huku wanaendesha pikipiki high speed siku zenu zinahesabika