Utafsiri

Ikiwa wewe ni mwandishi wa vitabu, makala, n.k au ni mchapishaji (publisher) unayetaka kutafsiriwa maandiko kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili au kinyume chake tuwasiliane.

Ni kwa gharama nafuu sana! Ninafanya kazi kwa kasi na usahihi mkubwa.
 
Mystery - Jambo la kutatanisha/linalotanisha au kitu kinachotatanisha
 
Indeed - sanaaa au haswaaa, Mystery - Fumbo / Kitu kisichokuwa wazi au cha utata kinachoambatanishwa na imani
Boom - Kuwa juu au kupanda kutoka hali fulani mf. kiuchumi kutoka hali ya chini na kuwa juu
 
Indeed - sanaaa au haswaaa, Mystery - Fumbo / Kitu kisichokuwa wazi au cha utata kinachoambatanishwa na imani
Boom - Kuwa juu au kupanda kutoka hali fulani mf. kiuchumi kutoka hali ya chini na kuwa juu

Shukrani sana mkuu nadhani hadi hapo nimepata kitu.
 
Kwa anaelewa matumizi na maana maneno haya
Indeed,mystery, boom.

Indeed
Mtu huyu ni mwerevu. => "This person is clever."
Mtu huyu ndiye mwerevu. => "This person is indeed clever."

Mystery => Fumbo
Mpelelezi aliweza kulifumbua fumbo. => "The investigator was able to solve the mystery."

Boom - Najua maana tatu za "boom":
"Boom of a sailboat" ni boriti linaloshikilia tanga la mashua kwa chini. Kwa mfano: "That sailboat has a very long boom."
"Boom of business" ni tukio la biashara kusitawi kwa ghafla. Kwa mfano: "The recent boom brought us a lot of money."
"Sound of a boom" ni sauti kubwa ya bunduki au bomu. Kwa mfano: "When I heard the boom I jumped out of my chair."
 

Shukrani kwako mwana jamvi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…