Utahisi aibu au kujishtukia ukikutana live na memba gani humu JF???!!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Wanahabari wenzangu.
embu tujulishane ni memba gani humu awe ke au me siku mkionana live utahisi aibu au kujishtukia???!!

Mara nyingi kama sio zote humu majukwaani hatujuani.kila mtu ana michango yake ipo yenye hekma ndani yake ipo yenye kero,matusi na udaku wa kila aina.
Nadhani sababu tunakuwa utambulisho wetu kapuni hivyo unaweza kukuta mtu mzima vitu anaandika au kuchangia humu huwezi kumfananisha navyo siku ukimuona.najua wengi wetu humu ID zetu tumezificha sana au tumehide app ya JF kabisa.

sasa elezea yupi ukikutana nae live utaona aibu kumwangalia.

mi nikimuona lembebez live asee tahisi aibu sana
 
nikikutana na wewe kwanza ntacheka kwa dharau
 
Unaweza kuta ata mkeo ni member Wa jf lakini hamjuani.
 
subiri umtongoze mkweo Pm ndio utkuwa na adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…