Utaipenda hii ya "Emolo"

Hii inanikumbusha enzi za bendi ya MK Beats wana Tukunyema(Mpaka chini) wowowo...........Enzi za MZEE KISTULI...........Hahaaaaaaaaaaaaa
 
Mfunyu hebu acha kusikiliza maneno ya watu.

Fanya hima, rudisha ile avatar yako nipate appetite ya kufuatilia posts zako.
 
Naskia pamoja na kwamba hawalingani vimo lakini wanapokuwa kwenye sit kwa sita, sehemu zote muhimu huwa zinakutana bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…